Makumba Mwenezi Meneja Idara ya Utafiti na Uchambuzi wa Sera haki Elimu amesema kwenye makadlio ya bajeti Elimu iliowasilishwa bungeni na Waziri wa elimu Prof Adofu Mkenda kiasi cha tilioni 1.9 bad akijafikia viwango vya kimataifa kwa kila nchi iwezekufikia asilimia20% lakini kwa Tanzania makadilio ya bajeti iliowasilishwa bungeni aijafikiwa haha kidogo.
Swala la mikopo ya elimu ya juu si rafiki kwa vyuo vya Ufundi na vyuo vya kati kwani wanafunzi wa vyuo hivi awana sifa za kukopesheka na hata wanafunzi wa vyuo vya juu wasio somea masomo ya sayansi nao awana sifa za kukopesheka.
Taasisi ya haki Elimu inaitaka serikali kuweka mifumo ya mikopo ya elimu rafiki kwa wanafunzi wote ,pia waondoe vikwazo na masharti magumu ya mikopo kwa wanafunzi wote.
Swala la mafunzo ya Amali ni vema serikali mafunzo haya yangeanza kuanzia kidato cha kwanza hadi 4 kwa shule zote za secondary za serikali na binausi, pia walimu wa mafunzo haya wawe na ujuzi wa kutosha
Elimu jumuishi bajeti yake sio rafiki.
Habari picha na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment