Mkurugenzi Mkuu wa Equity Bank Isabera Maganga ameaidi kuwa dirisha la mikopo lililozinduliwa leo kwaajili ya kutoa huduma za kifedha kwenye Equity bank litawahudumia wanawake wote wa vijijini,mijini,wajasiliamali wadogo,wakati na wakubwa pia fundi la wenye ulemavu wanawake watapata huduma za mikopo kikubwa wawe na sifa za kukopesheka.
Isabera Maganga ametoa wito kwa watu wote waitumie bank ya Equity kwani ni salama na inatoa mikopo ambayo aina masharti magumu na riba yake ni kiwango cha chini, ametoa rai kwa wanawake kutumia dirisha la Equity bank lililozinduliwa leo kwani litawasaidia katika kujikwamuwa kiuchumi.
Habari picha na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment