Dokta MAGRETI MSONGANZIRA mwadhiri mwandamizi wa chuo cha ushirika Moshi amesema gharama za kusoma kwa wana ushirika ni kikwazo kikubwa kwao ndio maana wanashindwa kwenda kusoma mafunzo ya ushirika pia kutokana na umbali wa ofisi zao wanashindwa kwenda kupata mafunzo ameishauri tume ya chuo cha ushirika kutekeleza kwa vitendo bajeti iliyopangwa kwaajili ya wana ushirika kupata elimu wakifanya ivyo itawasaidia wana ushirika ususani wakulima kwa kuongeza tija ya uzalishaji katika kilimo na kusaidia kupata kipato na kukua kwa uchumi wa Tanzania amesema haya kwenye maonyesho ya vyuo vikuu eneo la Mnazi mmoja wilaya ya Ilala jijini dar es salaam amewatoa ofu watanzania kuwa chuo hiki cha ushirika bado kinatoa elimu na mafunzo kwa ngazi ya chini kama awali chuo cha ushirika moshi kina jumla ya mataqwi 13 kwenye mikoa ya Tanzania bara na kina wanafunzi 4500
habari picha na ALLY THABITI
Thursday, 27 July 2017
Wednesday, 26 July 2017
MWENYEKITI WA JUKWAA WA NCHI ZA MAZIWA MAKUU AWATAKA VIONGOZI WAFUATE DEMOKRASIA NA UTAWARA BORA
JOSEFU BUTIKU mkurugenzi mtendaji wa taasisi ya mwalimu nyerere na mwenyekiti wa asasi za nchi12 za maziwa makuu ya Afirika amesema arizishwi na vita zinazo tokea kwenye nchi za kusini mwa Afrika kwani zinasababisha kufa kwa watu, kuongezeka kwa wakimbizi na watu kupata ulemavu wa aina mbalimbali ivyo amewataka viongozi wa SUDANI YA KUSINI, DEMOKRASIA YA KONGO ,SOMARIA na nchi zinginezo wafuate misingi ya demokrasia , kanuni ,sheria na utawara bora kwani wakifanya ivyo wataondoa migogoro iliyopo JOSEFU BUTIKU amesema haya kwenye mkutano wa siku 2 unaofanyika jijini Dar es salaam kwenye hotel ya NEW AFRIKA ametoa rai kwa asasi za nchi hizi kuongeza jitiada katika kutoa elimu kwa wananchi na viongozi na washirikiane na serikali katika kubolesha misingi ya utawara bora
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
Tuesday, 25 July 2017
MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM ARIDHISHWA NA UJENZI WA WODI YA KINAMAMA WAJAWAZITO
Mkuu wa mkoa wa dar es salaam POO MAKONDA ameridhishwa na hatuwa ya ujenzi ulivyofikia kwenye wodi ya mama wajawazito katika Ospitali ya AMANA iliopo manispaa ya Ilala jijini dar es salaam wodi hii itakuwa na uwezo wa kubeba vitanda 150 na kuweza kusaidia kuondoa mrundikano wa mama wajawazito kabla ya kujifungua na baada ya kujifungua Lengo laujenzi wa wodi hii nikutekeleza kwa vitendo kauli ya rais MAGUFULI kwa kutoa huduma bora kwa jamii na kunusuru vifo vya kina mama wajawazito na watoto wanao zaliwa Mkoa wa dar es salaam utakuwa na jumla ya vitanda 450 vya mama wajawazito na watoto katika manispaa za Kinondoni, Temeke na Ilala pindi mradi wodi hizi zitakapo kamilika na rais MAGUFULI ndeye atakayezinduwa ametoa rai kwa wadau mbalimbali kujitokeza kuchangia ujenzi mbalimbali hapa jijini dar es salaam ili kuwasaidia watumishi kufanya kazi katika mazingira bora
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
Monday, 24 July 2017
CHAMA CHA ADC CHAMUOMBA RAIS MAGUFULI KUBADILI MSIMAMO WAKE
Katibu mkuu wa chama cha ADC DOYO ASANI DOYO amemuomba rais MAGUFULI kubadili msimamo wake juu ya vyama vya siasa kufanya shuuri zao za kisiasa zikiwemo mikutano ya adhara, makongamano na semina mbalimbali DOYO ASANI DOYO amesema kuwa chama chao cha ADC kwao ni kikwazo kikubwa kwa msimamo huu wa rais MAGUFULI amesema haya kwenye ofisi ya mkuu wa mkoa baada ya kupokelewa na katibu mkuu wa mkoa wa dar es salaam ivyo DOYO ASANI DOYO ameupongeza uongozi mzima wa mkuu wa mkoa wa dar es salaam kwa mapokezi makubwa . kutembelea maeneo mbalimbali zikiwemo sehemu za taasisi za kidini , maospitalini , jera ya watoto na vituo vya vyombo vya habari Jumla ya wajumbe 14 wa chama cha ADC wameambatana na katibu mkuu wao DOYO ASANI DOYO kwenye ofisi ya mkuu wa mkoa wa dar es salaam ametoa wito kwa serikali wawape kibari cha kufanya mikutano ya adhara kwani watatumia rugha safi na bila vulugu yoyote
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
Thursday, 20 July 2017
JUMUIYA YA MABAARIA NCHINI TANZANIA YAMUOMBA RAIS MAGUFULI WAWASAIDIE
Mwenyekiti wa jumuiya ya mabaaria amemuomba rais MAGUFULI aisaidie jumuiya yao katika maswala ya kuwaendeleza kimasomo mabaaria na kuiwezesha kipesa ili iweze kufungua ofisi zao MTWARA , RINDI , BAGAMOYO ,MAFIA , TANGA na ZANZIBAR pia ameipongeza serikali kwa kuweza kuwatambuwa mabaaria jumuiya hii ina zaidi ya wanachama elfu5000 mikakati walio nayo kuwatafutia ajira mabaaria,kuwaendeleza kimasomo na kufungua web sait lengo waweze kujitangaza kimataifa changamoto wanazokutana nazo ni uhaba wa pesa na kutoajiliwa kwa mabaaria wao ametoa wiito kwa wadau mbalimbali na serikali wawaunge mkuno kwa hali na mali ili waweze kufanikisha malengo yao ili waeze kuwasaidia watanzania kupata ajira na kukuza uchumi wa nchi
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
WAZIRI WA UTUMISHI AIPONGEZA MANISPAA YA UBUNGO KUTOKUWA NA WATUMISHI HEWA
Waziri wa utumishi ANJERA KAIRUKI ameupongeza uongozi wa manispaa ya UBUNGO kutokuwa na watumishi hewa na kuweza kuakiki vyeti feki kwa uwazi na ukweli pia ameto wito kwa watumishi wa manispaa yaUBUNGO wawatumikie wananchi bila ubaguzi wala upendeleo na wapige vita maswala ya rushwa na ufisadi
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
KAMPUNI ZA FORODHA ZATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA
habari picha na ALLY THABITI
Friday, 14 July 2017
TAMOBA YALETA CHACHU YA MAENDELEO DAR ES SALAAM
kwaniaba ya bodi ya wakuruenzi barozi mstaafu FRANCIS BELNARD MNDOLWA amekabizi komputer 50 kwa mkuu wa mkoa POO MAKONDA zenye thamani ya shilingi milioni 85 lengo ni kutatua changamoto zilizopo jijini dar es salaam na kuwawezesha viongozi wa almashauri waweze kutoa huduma zao kwa ufanisi zaidi na kualakisha maendeleo ya dar es salaam kwa niaba ya bodi ya wakurugenzi wa TAMOBA barozi mstaafu FRANCIS BELNARD MNDOLWA ametoa wito kwa taasisi mbalimbali ziweze kutoa misaada ili maendeleo yapatikane jijini dar es salaam na amewasii kuwapuuza watu wenye nia mbaya na jiji la dar es salaam kwani niwatu ambao awapendi maendeleo
habari picha na VCTORIA STANSLAUS
Thursday, 13 July 2017
WADAU WA TAMFI WAMUUNGA MKONO WAZIRI WA FEDHA
DEVOTA LIKOKORA amesema maagizo alio tyatoa waziri wa fedha na mipango FILLIPU MPANGO wameyapokea na watayafanyia kazi maagizo hayo yakiwemo kulipa kodi na kufuatilia miradi yote amesema wana vikoba wote wanamuunga mkono waziri wa fedha kwa utendaji wake wa kazi na wamempongeza kwa kupigania sera ya maikofenense kwa atua ilipo fikia mpaka kufika mwaka 2018 kuwa sheria rasmi kwani itawasaidia kwa kiasi kikubwa kuendesha taasisi zao za kifedha bila vikwazo ametoa wito kwa wadau wa kilimo na fedha nivema waungane na kuwa kitu kimoja pamoja na kushirikiana kwaajili ya kukuza sekta za kilimo na fedha lengo kukuza uzalishaji wa mazao na uchumi wa nchi
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
MWENYE KITI WA TAMFI AIPONGEZA SERIKALI YA TANZANIA
JOELI MWAKITALU mwenye kiti wa TAMFI ameipongeza serikali ya tanzania kwa kuiwezesha TAMFI kwa kuipa pesa mbalimbali kwaajili ya kuendesha sughuri zao amesema TAMFI inakabiliwa na changamoto mbalimbali ususani katika kuwafikia watu wa vijijini ivyo ameiomba serikali iweze kutengeneza miundo mbinu ya barabara lengo waweze kuwafikia wananchi kwa uraisi ametoa wito kwa jamii wajiunge na TAMFI ili waweze kunufaika na mikopo
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
WAZIRI WA FEDHA AZITAKA TAASISI NDOGO ZA KIFEDHA ZITOE MASHARTI NAFUU KWENYE MIKOPO
Waziri wa fedha amezitaka taasisi za kifedha zinazotoa huduma ndogo ndogo za kifedha zitoe masharti nafuu kwa wafanya biashara wadogo wadogo pia amewataka waweze kufuatilia pesa wanazotoa kwenye miradi pia amewata wabuni mikopo kwenye sehemu zenye fursa mfano arizeti, uyoga na ufugaji wa samaki pia amewataka watumie technorojia ya kisasa lengo wawafikie wananchi kwa wingi ametoa wito kwa serikali kutengeneza sela nzuri amewataka taasisi za kifedha ziweze kulipa kodi sitaiki pia amewapa faraja wana TAMFI kwa kuambia kuwa sera ya maikofenense kufika mwaka2018 itakuwa sheria rasmi hamesema haya kwenye mkutano wa TAMFI kwenye ukumbi wa mwalimu nyerere uliopo posta jijini dar es salaam
habari picha na VICTORIA STANLAUS
habari picha na VICTORIA STANLAUS
Tuesday, 11 July 2017
OSPITALI YA MKOA YA TEMEKE YAELEZA MIKAKATI KUUSU IDADI YA WATU
Muuguzi FRAMANI SWAI amesema kutoa elimu kuusu kutumia njia bora za uzazi wa m,pango ni njia bora yenye lengo la watanzania waweze kuwa na watoto ambao wataweza kuwahudumia bila matatizo ikiwemo kuwapeleka shule na kuwapa huduma za kiafya bila matatizo amesema haya siku ya kilele cha idadui ya watu dunuiani ambapo imeazimishwa kwenye viwanja vya mwembe yanga wilaya ya Temeke jijini dar es salaam alivyo tembelewa na kaimu mwakilishi mkazi wa shirika la idadi ya watu duniani UNFPA Dkt. ASHINA na naibu katibu mkuu wa wizara ya AFYA JINSIA WATOTO na WAZEE ameiomba serikali na UNFPA wawapatie dawa pamoja na wataalam kwani ni wachache ambapo kauli mbiu ni uzazi wa mpango kuwezesha watu na kuendeleza mataifa
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YAELEZA JINSI INAVYOTOA ELIMU KWA JAMII
Mmoja wa viongozi wa ofisi ya taifa ya TAKWIMU amasema semina kmakongamano na kutoa taarifa kupitia vyombo vya habari ni njia wanazo tumia kuwapa elimu waTANZANIA kuusiana na matumizi ya njia za uzazi nwa mpango lengo waweze kupanga uzazi bora hamesema haya siku ya kilele cha idadi ya w3atu Duniani kwenye viwanja vya mwembe yanga wilaya ya Temeke jijini dar es salaam alivyo tembelewa na kaimun mwakilishi mkazi wa UNFPA dkt. ASHINA pamoja na naibu katibu mkuu wa wizara ya afya jinsia ,watoto na wazee OTILIA GUELO amewaomba wawape vifaa vya kisasa katika kutekweleza majukumu yao ya kazi
habari picha na ALLY THABITI
UNFPA YAWATAKA WATANZANIA WATUMIE NJIA ZA UZAZI WA MPANGO
Mratibu wa mawasiliano na afisa habari wa shirika ya idadi ya watu tanzania UNFPA amewataka watanzania waache mila potofu na dhana potofu katika matumizi ya kutumia njia bora na salama za uzazi wa mpango amesema kuwa UNFPA nchini Tanzania inawafikia watanzania kwa kiasi kikubwa mijini na vijijini katika kuwapatia elimu kuusu njia za uzazi wa mpango kwa kutumia vyombo vya habari,semina,wanawatumia wadau mbalimbali kwenye vituo vya afya ,viongozi wa kidini na viongozi wa jadi na kimila pia amewatoa ofu watanzania juu ya kutumia njia za uzazi wa mpango lengo nikuwa na idadi kamili
habari picha VICTORIA STANSLAUS
habari picha VICTORIA STANSLAUS
ONGEZEKO LA WATU NCHINI IWE FURSA YA UCHUMI
Profesa wa uchumi wa chuo kikuu cha MZUMBE PROSPA NGOWI amesema ongezeko ya idadi ya watu nchini iwe fursa katika uzalishaji mali kwani itasaidia kukuza uchumi wa Tanzania na serikali iweze kuboresha miundo mbinu ya elimu na Afya kwani itasaidia kuelekea Tanzania ya uchumi wa kati na viwanda amesema haya kwenye kilele cha siku ya idadi ya watu Duniani kwenye hotel ya serena jijini Dar es salaam
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
WANAUME WATAKIWA KUSHIRIKI KIKAMILIFU KUTUMIA UZAZI WA MPANGO
KATHIBATI MEI MAENDA kutoka asasi ya kiraia inayoshuulika na kutoa elimu kwa wanaume kuusiana na uzazi wa mpoango amesema wanaume ni vema washiriki kikamilifu kutumia njia za uzazi wa mpango na malezi ya watoto kwani kutasaidia kuwwepo kwa ongezeko la watu lenye tija KATHIBATI amesema mkoa wa SINGIDA wamekuwa na mwamko mkubwa kwa kutumia njia za uzazi wa mpango na wamewewza kuamasisha wa naume pia wanawake wameweza kuamasika kutumia njia za uzazi wa mpango Swala la ukosefu wa madawa na watumishi imekuwa ni kikwazo katika uzazi wa mpango ivyo ametoa wito kwa serikali na wadau mbali mbali watatue changamoto ya madawa na watumishi
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
BIMA ZA AFYA ZATAKIWA KUWEKA MFUMO WA UZAZI WA MPANGO KWA WATEJA WAO
TABIA MASUDI meneja wa mauzo na masoko wa kampuni ya bima ya afya ya AAR amezitaka bima zingine za afya ziweke mfumo wa uzazi wa mpango kwa wateja wao lengo kuelimisha jamii kuusu njia bora za kuweka uzazi wa mpango salama ili kuweza kupunguza idadi ya watu lengo waweze kuwaudumia vizuri kuwa na idadi kamili ya watu inasaidia uzalishaji wa tija kwa nchi na kukuwa kwa uchumi
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
Monday, 10 July 2017
EQUITY BENKI YAJIVUNIA HUDUMA BORA
Kiongozi wa benki ya EQUITY amesema wanajivunia kwa kutoa huduma bora kwa wananchi amewataka watanzania watembelee banda lao kwenye maonyesho ya 41 ya sabasaba waweze kufunguwa akaunti kwani kwa Tanzania wameenea kwa kiasi kikubwa pia wakiwa nje ya nchi wanapata huduma ya kutoa pesa kwenye benki yeyote ametoa wito kwa wajasiliamali wafunguwe akaunti ya EQUITY ili waweze kupata mikopo nafuu
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
BODI YA UTALII TANZANIA IMEWATAKA WATANZANIA WAJITOKEZE KWA WINGI KWENYE MAONYESHO YA 41 YA SABASABA
habari picha na ALLY THABITI
PICHANI TECHNORIJIA YA UFUGAJI WA SAMAKI
Jeshi la kujenga Taifa matenki ya kufugia samaki ndio technorojia mpya walio ileta tanki moja lina kaa samaki 100 pia inasaidia katika utunzaji wa mazingira
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
Saturday, 8 July 2017
BENKI YA NMB YAJA NA MIKAKATI MIZITO KWA WAJASILIAMALI WADOGO WADOGO
DORIS A.KILALE nimwakilishi wa NMB amesema wameamuwa kuanzisha mikopo kwa wafanya biashara wadogo wadogo asa mama ntilie na wachoma vitumbuwa lengo nikuwasaidia ili wawe wajasiliamali wakubwa pia wameamuwa kuanzisha akaunt kwa watoto lengo kuwawezesha watoto wawe na pesa zao wenyewe DORIS A.KILALE ametowa wito kwa jamii watembelee banda la NMB kwenye maonyesho ya 41 ya sabasaba wapate huduma bora na za uhakika zaidi Pia wanamuunga mkono rais MAGUFULI kuelekea Tanzania ya viwanda kwa kutoa mikopo nafuu na isiyo na liba kubwa kwa wafanya biashara
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
Friday, 7 July 2017
JESHI LA KUJENGA TAIFA LATEKELEZA AGIZO LA RAIS MAGUFULI
RUTENI EDWADI GEZA kutoka idara ya kilimo amesema wanatekeleza agizo la rais MAGUFULI kwa kulitaka jeshi la kujenga Taifa lilime chakula cha kutosha kwaajili ya kuisaidia serikali katika kupeleka vyakula kwenye makambi ya kijeshi hapa Nchini RUTENI EDWADI GEZA amesema wameshaweka mikakati mbalimbali kwenye sekta ya kilimo kwa kuanzisha mashamba makubwa na kuanzisha mashamba darasa nakwa kulima kilimo cha kisasa ametoa wito kwa wakulima nchini wawatumie wataalam wakilimo na mbolea katika ulimaji wao
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
JESHI LA KUJENGA TAIFA LAJA NA TEKNOROJIA MYA YA UFUGAJI WA SAMAKI
LUTEN JOSEFU LIYAKULWA ni afsa uvuvi wa samaki amesmawamekuja na teknorojia mpya na ya kisasa kufuga samaki kwa kutumiqa matenk lengo ni kuongeza uzalishaji wa samaki kwa wingi na wenye tija ambako utasaidia kuongezeka kwa ajira, kukuwa kwa uchumi na kuimalisha Afya za watanzania amezitaka taasisi za fedha kuweza kuwakopesha watanzania wenye kipato kidogo ili waweze kuendesha mradi huu kwani gharama za awali ni sh.milioni 3
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
GLOBAL EDUCATION LINK LTD AMEWATAKA VIJANA WA TANZANIA WACHANGAMKIE FURSA ZA KWENDA KUSOMA NJE
Mkurugenzi wa udahili wa GLOBAL EDUCATION ZAKIA NASSORO amesema vijana wa kitanzania wachangamkie fursa za kwenda kusoma nje ya nchi kwaajili ya kupata ujuzi zaidi na kujifunza maswala mbalimbali ya techinorojia mpiya na za kisasa kwa kupitia taasisi yao ya GLOBAL ambayo inatambulika na serikali ya Tanzania katika kuwatafutia nafasi za kwenda kusoma nje ya nchi na kudahili wanafunzi hawa amewataka wanafunzi wa kitanzania waweze kujitambuwa katika kozi wanazosoma na wasifuate mkumbo Taasisi hii ina jumla yanchi 15 ambapo wanawapeleka wanafunzi na ada zao shilingi milioni3 na hapa nchini wana ofisi 6 Dar es salaam ndio makao makuu kwenye viwanja vya sabasaba na wanapatikana kupitia kwa simu ya mkononi 0656 200200 Arusha na Mwanza wapatikana pia amewatoa ofu wazazi na walezi kuwa nchi wanazowapeleka vijana wao zina amani na usalama
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
Wednesday, 5 July 2017
AMREF HEALTH AFRICA YAJA NA MIKAKATI MIZITO KUTOKOMEZA VIFO VYA MAMA MJAMZITO
Mwakilishi wa AMREF amesema kutoa mikopo kwa kuwasomesha Wakunga wazalishaji na kuwaendeleza wakunga walioishia kwa ngazi ya cheti lengo kupunguza vifo vya mama wajawazito na watoto wanaozaliwa AMREF imeanzishwa mwaka 1957 na sasa imewasomesha wakunga wengi na wamewapeleka vijijini hivyo wamesaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza vifo vya mama mjamzito na mtoto wameiomba serikali na taasisi nyingine wawaunge mkono ili kutokomeza vifo vya mama wajawazito na mtoto
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
BENKI YA TIB YAWATOA MASHAKA WALIPA KODI
TERESIA SOKA mkuu wa kitengo cha masoko wa benki ya TIB benki amesema wale wote wanaoagiza mizigo nje ya nji kupitia bandari ya Dar es salaam watalipa kodi zao za mizigo kupitia tawi la benki la TIB lilopo bandarini tena kwa masaa 24 bila kujali kama upo benki zingine TERESIA SOKA amesema watanzania watembelee banda lao lililopo kwenye maonyesho ya 41 ya sabasaba ili wajipatie huduma mbalimbali kuna aina tatu za TIB benki ya Kwanza inausika na maendeleo mfano miundombinu ya Pili inausika na rasilimali inajiusisha na ushauri wa uwekezaji na ya Tatu inashuurikka na maswala ya biashara ambako utoa huduma za kibiashara kwenye taasisi mbalimbali ametoa wito kwa jamii wafunguwe akaunti kwenye benki ya TIB kwaajili ya usalama wa pesa zao na ni benki ya kitanzania
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
Tuesday, 4 July 2017
VIJANA WAITAKA TGNP IWAPE MAFUNZO MALA KWA MALA YA UKATILI WA KIJINSIA
Moja ya vijana amesemani vvyema TGNP iwape mafunzo kuusiana na ukatili wa kijinsia mal kwa mala kwa ngazi ya chini kwani urawiti,ubakaji,ndoa za utotoni na mimba za utotoni matukio haya yapo mengi sana pia ameipongeza TGNP kwa kuwapa mafunzo haya kwani wao vijana watapita kuwaelimisha watu wengine waachane na ukatili wa kijinsia
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
TGNP YATOA ELIMU KWA VIJANA KWA NGAZI YA CHINI
habari pixcha na ALLY THABITI
KAMPUNI A GALAXY COMPUTERS YAWATAKA WATANZANIA WANUNUE BIDHAA ZAO
habari picha na ALLY THABITI
KAMPUNI YA TRASTA LIMITED YAWASII WATANZANIA WAACHANE NA ZANA POTOFU JUU YA MIKOPO YA NYUMBA
Haya yamesemwa na ROLANI NGAO ambako amesema kuna aina tatu za mikopo ya nyumba ikiwemo mkopo wa nyumba, ukarabati wa nyumba na kiwanja mikopo hii ulejeshwa kwa muda wa miaka 10 mpaka25 vigezo vya mkopo huu ni kuwa na kipato na amna dhamana yeyote kampuni ya TRASTA LIMITED inajishughurisha na kutoa elimu ya mikopo ya nyumba nchini Tanzania
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
KAMPUNI YA MAZAO YA KILIMO YAMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI KUELEKEA UCHUMI WA VIWANDA KWA KUTOA MBEGU BORA KWA WAKULIMA
Mratibu wa SEED CO na uhusino wa kampuni hii amesema SEED CO wao wanatoa mbegu bora na za kisasa kwa wakulima na zinazo zingatia usalama wa Afya na tija ya uzalishaji kwa wakulima ambako umsaidi mkulima kupata mazao kwa wingi ali ya hewa ya mabadiliko ya tabia ya Nchi na wadudu imekuwa changamoto kwa wakulima SEED CO inatoa mbegu zao kwanchi za Afrika 15 pia wakazi wa LINDI na MTWARA Watafunguliwa maduka na SEED CO ametoa wito kwa serikali waongeze wigo mpana kwa uwekezaji wa kilimo
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
HALOTEL WALETA OFA KABAMBE KWENYE MAONYESHO YA 41 YA SABASABA
Kampuni ya halotel imeleta ofa kabambe kwa wateja wake ambapo mtu akisajili raini ya halotel kwa shiringi elfu moja anapata dakika 30 ambako atatumia ndani ya miezi 2 haya amesema DANI PREYGOTI afsa masoko wa halotel ivyo amewataka watanzania watembelee banda la halotel kwwen ye maonyesho ya 41 ya sabasaba ili wanufaike na ofa kabambe
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
TIGO YAJA NA OFA KABAMBE MAONYESHO 41 YA SABASABA
Afsa masoko wa TIGO IZRAELI TOROKA amewataka watanzania waende kununua bidhaa za TIGO kwenye maonyesho ya 41 ya sabasaba kwani kuna punguzo kubwa la bei kw3enye bidhaa za TIGO zikiwemo simu za mkononi
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
Monday, 3 July 2017
AGRICOM YAJA NA MBINU ZA KUWAKWAMUA WAKULIMA WATANZANIA
ERIKI MIDUNDA meneja mikakati wa kampuni ya AGRICOM ni kampuni ya kitanzania inayojiusisha na uuzaji na usambazaji wa vifaa vya kilimo lengo la kuanzishwa kwa kampuni hii mwaka 2009 ni kumsaidia mkulima wa kitanzania aache kulima kilimo cha kupinda mgongo na badala yake kutumia zana bora za kilimo na za kisasa kutokana na hali duni za wakulima wana wakopesha vifaa vya kulimia ikiwemo matrekta Meneja mikakati wa kampuni hii amewataka watanzania watembelee banda lao lililopo kwenye maonyesho ya saba saba wajionee na wanunue zana za kilimo Hameishukuru serikali ya tanzania kutowatoza kodi pindi wanapo ingiza zana zao kilimo Pia wanamuunga mkono rais MAGUFULI katika kuelekea Tanzania ya viwanda kwa kuwakopesha zana bora za kilimo wakulima ametoa wito kwa asasi za kibenki wawakopeshe wakulima kwani kilimo kinakopesheka na kinalipa
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
TPB BENKI NA AICC YAJA NA MIKAKATI MIZITO KATIKA KUTANGAZA UTARII WA TANZANIA
MWENYEKITI WA TPB BENKI barozi LADISLAUS KOMBA amesema wanaunga mkono jitiada za AICC wanavyo pigania kuleta chombo cha kuleta mikutano nchini kwani italeta tija kubwa kibiashara
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
BODI YA UTARII YAFURAISHWA NA UJIO WA CHOMBO CHA KUTAFUTA MIKUTANO YA KIMATAIFA
Mwenye kiti wa bodi ya Utarii Tanzania JAJI MAIKO MIAYO amesema chombo cha kutafuta mikutano ya kimataifa nje ya nchi kikikamilika kuundwa nchini Tanzania kitasaidia kutangaza na kukuza utarii wetu hapa Nchini kwani chombo icho kitaleta watu wengi wa kigeni na watu awa watatembelea kwenye sekta za kitarii apa nchini zikiwemo mali kale,wanyama na sehemu zingine za asili ivyo ameiomba serikali kusimamia kikamilifu uundwaji wa chombo hiki kwa manufaaa ya Taifa na watanzania kiuchumi
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
AICC YAJA NA MBINU MPYA YA KUONGEZA KODI NCHINI KUPITIA MIKUTANO YA KIMATAIFA
MKUNDE SENYAGA MOSHI mkurugenzi wa masoko wa AICC na JENICC wamekutana na wadau mbalimbali lengo ni kutoa elimu na kuongeza uwelewa kuusu utalii wa mikutano kwani biashara ya mikutano ya utalii inasaidia kwa kiasi kikubwa kuongeza pato la Taifa ivyo wanaishauri serikali kuunda kwa alaka zaidi chombo cha kutafuta mikutano nje ya nchi kwani kutqasaidia kuongezeka kwa ajira kwavijana na mapato na tutapata mikutano zaidi ya 300
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
MABENKI KUCHUANA VIKALI
MAIKO MWITA kaimu katibu mkuu wa mpira wa kikapu Tanzania ametoa taarifa kwa umma tarehe 15mwezi wa6 mashindano ya mpira wa kikapu yataanza rasmi jijini Dar es salaam benki zipatazo saba zimesibitisha kuwa zitashiriki mashindano haya miongoni mwa benki izo ni NMB,TAB,DTB,CRDB,BIOTI na zinginezo viwanja vitakavyo tumika ni kiwanja cha KIDONGO CHEKUNDU na uwanja wa TAIDFA wa ndani lengo la mashindano haya kudumisha umoja , amani, upendo , utulivu na mshikamano pia bingwa atakae patikana ataenda kuwakilisha nchi kwenye michuano ya Kimataifa ameziasa benki shiriki watumie wachezaji ambao wanafanya kazi kwenye benki zao na si mamluki
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
VIJANA WAMETAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA KUPITIA SEKTA YA KILIMO
MOSES LUKOO afsa mawasiliano wa kampuni ya JATU amesema vijana wa kitanzania wachangamkie fursa kwenye sekta ya kilimo pia amewataka wale wote watanzania wajiunge na JATU kwani kampuni hii ni ya kizarendo na inasaidia katika kukuza uchumi wa mtu mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla na inasaidia kujenga Afya na kutokomeza umaskini mpaka sasa kampuni ya JATU ina mwaka mmoja na inajumla ya wanachama 1178 na kampuni hii inashuurika na arzeti na kuuza unga wa dona na sembe kwa ujazo mbalimbali amezungumzia changamoto wanazokutana nazo mtaji na dhana potofu za watanzania kwakuto iamini kampuni hii ya JATU Ametoa wito kwa serikali waisaidie kampuni ya JATU kwakupewa mtaji wa kutosha
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
Saturday, 1 July 2017
KATIBU MWENEZI WA SIASA WA CCM AMFREI POLEPOLE AFRAHISHWA NA CHAGUZI ZA JUMUIYA ZINAVYOENDESHWA
Katibu mkuu wa uwenezi na siasa wa chama cha CCM AMFREI POLEPOLE amesema anafurahishwa na jinsi ya chaguzi za jumuiya mbalimbali zinavyoendeshwa ndani ya chama cha mapinduzi CCM amesma kuwa chaguzi zimekuwa za uru na haki ametoa rai kwa wanachama wa CCM wazidi kukiimarish chama na kukipigania chama kwa masrai ya chama na Taifa kwa ujumla na wazidi kumuunga mkono MWENYEKITI wa chama cha CCM na ambaye ni rais wa Tanzania JONH POMBE MAGUFULI kwakulinda na kutetea raslimali za Taifa
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
KATIBU MKUU WA KAFU MAALIM SEFU AMBEZA PROF LIPUMBA
Katibu mkuu wa chama cha wananchi KAFU MAALIM SEFU amesema prof LIPUMBA wao awajawa kitu kimoja ivyo ni mtu wa kupuuzwa na maneno yake MAAKIM SEFU ameongezea kwa kusema kuwa akaunti ya benki ya NMB ya chama cha KAFU bado anayo yeye katibu mkuu amesema haya wakati anaongea na waandishi wa Habari kweye Hotel ya PIKOKU HOTEL eneo la Baridi posta jijini dar es salaam
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
WAZIRI JENSTA MUHAGAMA AWATAADHARISHA VIJANA
Waziri wa kazi,ajira,vijanana watu wenye ulemavu amewataka vijana nchini Tanzania waache mala moja kutumia madawa ya kulevya kwani wao ni nguvu kazi ya Taifa ivyo wanapo tumia madawa ayowanapoteza nguvu zao na Afya zao kudhoofika ivyo kulishababishia Taifa kulega kwa uchumi amesema haya kwenye maadhimisho ya kupiga vita madawa ya kulevya ambayo kitaifa yamefanyika viwanja vya nyerere jijini DODOMA
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
WAZIRI MKUU MAJALIWA KASIMU MAJALIWA ATOA ONYO KALI KWA WAUZAJI NA WAINGIZAJI WA DAWA ZA KULEVYA NCHINI TANZANIA
Waziri mkuu wa Tanzania MAJALIWA KASIMU MAJALIWA amesema wale wote wanaouza na kuingiza Dawa za kulevya nchini wakikamatwa hatua kali zitachukuliwa dhidi yao kwani dawa izo za kulevya zinapoteza nguvu kazi ya nchi ususani vijana hivyo bila kuwachukulia hatua yeyote wauzaji na waingizaji wa dawa hizo watazolotesha uchumi wa nchi na kudhoofisha mipango ya rais MAGUFULI kuelekea Tanzania ya uchumi wa viwanda ametoa wito kwa vijana wenye umri wa miaka15 mpaka 35 wajiepushe na matumizi ya dawa za kulevya Pia ameitaka jamii iwafichue wauzaji na wasambazaji wa madawa ya kulevya pia jamii iwapeleke vijana wao walioathirika na madawa ya kulevya kwenye vituo na Ospitali kwaajili ya tiba amesema haya siku ya maadhimisho yakupiga vita madawa ya kulevyaambako tarehe29/mwezi wa sita 6 ambako uazimishwa kila mwaka kwa Tanzania imeazimishwa kwenye viwanja vya nyerere jijini DODOMA
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
Subscribe to:
Posts (Atom)