Waziri mkuu wa Tanzania MAJALIWA KASIMU MAJALIWA amezinduwa kituo cha kuwatibia waathirika wa madawa ya kulevya eneo la ITEGO mjini DODOMA kituo hiki kitakuwa kinatoa tiba bule kwa waathirika na kuweza kuludisha matumaini ya nguvu kazi ya Taifa inayopotea ya vijana kulia na Waziri wa Afya, jinsia, watoto na wazee UMI MWALIMU na kushoto na Kamishna wa kupambana na madawa ya kulevya ROGERS SIANGA kwenye mazimisho ya kitaifa ya kupinga matumizi yz madawa ya kulevya kwa wauzaji na watumiaji Duniani kuazimishwa tarehe 29/6 kila mwaka
habari picha na ALLY THABITI
Friday, 30 June 2017
Thursday, 29 June 2017
WAFANYA BIASHARA WAKARIAKOO WAMEASWA KUUNGANA PAMOJA
Kaimu mwenyekiti wa jumuiya ya wafanya biashara kariakoo JERADI amesema ni vema wafanya biashara wakaungana na wawe kitu kimoja ili waweze kutetea maslai yao kwa uraisi Pia amewataka wafanya biashara waweze kujitokeza kwa wingi kwenye mkutano utakao fanyika tarehe 1/7/2017 katika Hotel ya STAR LIGHT ili waweze kufaamu mapato na matumizi na mwenendo wa jumuiya na kupewa namna ya kuendelea kibiashara pia jumuiya ya wafanya biashara wa kariakoo inamuungamkono kwa dhati rais MAGUFULI katika kuelekea Tanzania ya viwanda akiambatana na mwenyekiti wa jumuiya ya wafanya biashara
Habari picha na VICTORIA STANSLAUS
TOZO YA 0.5 NI MWIBA MKALI KWA WAFANYA BIASHARA WA KARIAKOO
Katibu wa jumuiya ya wafanya biashara wa maduka kariakoo ABDALA MWINYI amesema tozo wanayo tozwa ya pesa ya 0.5 imekuwa ni tatizo kwao kwani tozo iyo iinawafanya wafanya biashara kutozwa pesa ya mtaji wao ndio maana maduka mengi kariakoo yamefungwa Ameiasa serikali isitumie nguvu kubwa katika kukusanya kodi kariakoo badala yake nguvu hizo wazitumie kuboresha miundombinu ya soko la kariakoo Pia watengeneze mazingira bora ya kuwashirikisha wafanya biashara kwenye huundwaji wa sheria za kodi .ametoa wito kwa serikali imtambue mfanya biashara kuwa ni mlipa kodi nasio mwizi wala mkwepa kodi amemalizia kwa kuwataka wafanya biashara wajitokeze kwa wingi kwenye mkutano mkuu utakao fanyika Hotel ya STAR LIGHT ukao fanyika tarehe 1/7/2017
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
Wednesday, 28 June 2017
MAKAMU WA RAIS AMESEMA TUWALINDE WANYAMA POLI KWAAJILI YA TAIFA LETU
Makamu wa rais MAMA SAMIAH SULUHU ASANI amewataka watanzania wawalinde wanyama poli na watunze maliasiri kwani ni vitu ambavyo vinatuingizia pesa Nchini Pia ameitaka wizara ya MALIASIRI na UTARII itumie vizuri sheria na kanuni zilizopo kwenye mongozo aliozinduwa leo
habari picha na ALLY THABITI
MUARUBAINI WA KUWAZIBITI MAJANGILI WA WANYAMA POLI WAKAMILIKA
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
KATIBU WA WIZARA YA MAJI ATOA AGIZO KALI
Katibu wa wizara ya maji prof KITILA MKUMBO ametoa agizo kwa DAWASA na WAPCOS kutoka INDIA kukamilisha mara moja vituo vya maji 115 vilivyo baki mjini CHALINJE ambako akiwa katikati ndio katibu wa wizara ya maji
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
ATUA ZA MRADI ZALETA FARAJA
Meneja wa mradi wa maji RUVU juuu EMANUEL MUKASA amesema hatua ya mradi ulipofikia ni mzuri ivyo inatia faraja kubwa amesema aya baada ya kumuonyesha miundombinu ya maji ya RUVU juu katibu mkuu wa wizara ya maji prof KITILA MKUMBO
Habari picha na VICTORIA STANSLAUS
Habari picha na VICTORIA STANSLAUS
ADHA YA MAJI DAR ES SALAAM SASA BASI
Kaimu mtendaji wa DAWASA amesema ifikapo mwezi wa kumi 2017 jiji la dar es salaam litapata lita za maji756 ivyo akutokuwa na tatizo la maji tena amesema haya baada ya katibu wa wizara ya mafi na taka prof KITILA MKUMBO alivyo tembelea mradi wa maji RUVU juu pichani akionyeshwa mradi unavyoendelea
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
Tuesday, 27 June 2017
UV CCM CHAMANZI WAMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI KWA UJASILI WAKE
ABDALA IBRAIM ni mwenyekiti anae maliza muda wake wa umoja wa vijana chama cha mapinduzi ccm kata ya chamanzi wanamuunga mkono rais MAGUFULI kwa ujasili wake kwakuwafichua mafisadi na kulinda rasilimali ivyo kwa pamoja wanamuunga mkono kwa asilimia mia moja hamesema ameweza kuwajengea uelewa watanzania kuusu mchanga wenye dhahabu ulio kuwa unasafilishwa nje ya nchi ametoa wito kwa jamii wamuunge mkono rais na wamuombee kwa Mungu ili apate moyo na nguvu ya kuzidi kufichua mafisadi
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
WAZIRI AOKOA JAAZI KWA WATU WENYE ULEMAVU KUSHILRIKI MAONYESHO YA 41 YA SABA SABA
Waziri wa biashara ,viwanda na uwekezaji CHAZI MWIJAGE ameweza kuwasaidia watu wenye ulemavu wa aina mbalimbali kushiriki kwenye maonyesho ya 41 ya saba saba kwakuwapa eneo rafiki la kuweka bidhaa zao ukilinganisha na kipindi kilichopita pia amewapongeza kwa ushiriki wao na kuwataka watu wengine wenye ulemavu waweze kushiriki kwenye shughuri mbalimbali za ujenzi wa Taifa ametoa wito kwa jamii wasiwafungie,wasiwabague na wasiwanyanyapae bila kujali aina ya ulemavu wao badala yake wawapeleke shule na wawape mitaji ya biashara
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
KATIBU WA UV CCM AENDESHA UCHAGUZI WA MATAWI BILA MIZENGWEMIZENGWE TAKA YA CHAMANZI
STUKIA ALLY katibu wa jumuiya ya umoja wa vijana ccm ameweza kuendesha uchaguzi wa umoja wa vijana wenye jumla ya matawi13 ambako uchaguzi ulikuwa wa uru na haki na sasa wanaelekea kwenda kwenye uchaguzi wa katibu umoja wa vijana na mwenyekiti kwa kata ya chamanzi ivyo ametoa wito kwa wagombea wote wasome katiba ya chama cha mapinduzi cha ccm lengo waweze kufaamu kanuni na talatibu za chama ili waachane na tabia ya kulalamika,kunung'unika na kuto susia matokeo pindi mshindi atakapo tangazwa STUKIA ALLY ni katibu anemaliza muda wake kikanuni atogombea tena ivyo atagombea kwenye jumuiya ya wazazi amewaomba wanachamanzi waweze kumchaguwa tena kwani yeye ni mwaminifu,muhadilifu,mpambanaji,mpiganaji na mtetezi wa wanyonge
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
RAIS MAGUFULI KUFUNGUA MAONYESHO YA SABA SABA YA 41
Waziri wa biashara,viwanda na uwekezaji CHAZI MWIJAGE amesema maonyesho ya saba saba ya 41 yatafunguliwa na rais MAGUFULI tarehe 1/7/2017 jumla ya makampuni 25oo yatashiriki maonyesho hayo na nchi 30 zitashiriki ivyo amewataka watanzania waweze kujifunza ujuzi kutoka kwa watu wa nje watakao shiriki kwenye maonyesho ya saba saba amewapongeza TANTRADE kwa kuandaa vizuri maonyesho haya saba saba na kwakumuunga mkono rais MAGUFULI kuelekea Tanzania ya viwanda kwani washiriki wamejitokeza kwa wingi mno .amesema haya baada ya kumaliza kukagua mabanda kwenye viwanja vya saba saba wilayani Temeke jijini Dar es salaam
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
SHEKH MKUU WA DHEHEBU LA SHIA ITHANA ALAANI MAUAJI YANAYOTOKEA KIBITI
SHEKH SHARIYA HEMED JALALA amesema kwaniaba ya viongozi wenzake na waumini kwaujumla wanalaani vikali mauaji yanayotokea KIBITI wilayani MKURANGA mkoa wa PWANI ivyo amewataka viongozi wa kidini waungane pamoja katika kutoa elimu,kufanya maombi na kutoa nasaha pamoja na kuwasii watanzania wote waache mala moja kufanya mauaji yanayotokea KIBITI kwani inachafua TAIFA letu na kuatalisha Amani tulio nayo Hamekwenda mbali zaidi kwa kusema ni vyema sasa viongozi wa kidini wote kuwa kitu kimoja bila kujali itikadi zao, madhehebu yao na rangi zao pamoja na makabila yao ametoa wito kwa watanzania watume akili katika kufanya mema ili isitokee kama PALESTINA na PAKSTANI amesema haya kwenye ibada ya EID AL FITR ambayo imefanyika kwenye msikiti wa AL GHADIR uliopo kigogo wilaya ya kinondoni jijini Dar es salaam
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
Monday, 26 June 2017
WACHANGIA DAMU WATOLEWA OFU
Meneja wa benki ya damu salama kanda ya mashariki mganga AVERINA MGASA amesema kuwa ukichangia damu damu aitoki mala kwa mala kama watu wavyosema ivyo amewataka watanzania wote wazidi kujitokeza kuchangia damu amewapongeza waandishi wa habari wote kwa kutoa elimu kwa jamii juu ya kuchangia damu pia ameeleza sifa za mchangiaji damu asiwe mama mjamzito,asiwe na ugonjwa waseli mundu,plesha,ugonjwa wa Ini,figo na magonjwa ya zinaa amesema kwa mwaka damu inayotakiwa kukusanywa vyupa laki3 ivyo wanakusanya vyupa vya damu laki 1tisini na sita ivyo ameiasa jamii ijitolee katika uchangiaji wa damu ili kutimiza malengo
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
Sunday, 25 June 2017
NGAOMA ALLY NGAOMA AUKWAA UWENYE KITI WA UV CCM KWA KISHINDO
NGAOMA ALLY NGAOMA amembwaga mpinzani wake TUMAINI MAKWINYO kwenye uchaguzi wa umoja wa vijana ccm kwenye tawi la BONDE LA MPUNGA kata ya MSASANI nakupata nafasi ya UWENYEKITI wakati uchaguzi unaendelea TUMAINI MAKWINYO aliondoka kwenye ukumbi wa kupiga kura ataivyoMWENYEKITI NGAOMA ASLLY NGAOMA amesema atasimamia haki ,uadilifu ,amani na kulinda mali za chzma nawatakao kuwa wabadhilifu wa mali za chama na watakao kiuka maadili hatua kali zitachukuliwa zidi yao kwa kufuata kanuni, taratibu na sheria zilizopo ndani ya chama cha ccm amemalizia kwa kusema Umoja WA VIJANA WA CHAMA CHA CCM TAWI LA BONDE LLA MPUNGA NA KATA YA MSASANI kwaujumla wanamuunga mkono rais MAGUFURI kwaatua kali anazochukuwa dhidi ya wabadhilifu na mafisadi ivyo wapo ntyuma yake ametoa wito baada ya uchaguzi kumalizika watakuwa kitu kimoja na kushilikiana nao waliokuwa wapinzani wake
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
FIGISU FIGISU UCHAGUZI WA UV CCM SASA BASI
habari picha na ALLY THABITI
BAADHI YA MADIWANI WALIOUDHURIA KWENYE FTARI YA PAMOJA
Hilio andaliwa na mstaiki meya wa halmashauiri ya kinondoni BENJAMINI SITA
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
VIONGOZI WA KIDINI WAMEOMBWA KUENDELEZA MSHIKAMANO
Mstaiki meya wa halmashauri ya kinondoni BENJAMINI SITA amewaomba viongozi wa kidini wazidi kushilikiana na viongozi na madiwani wa halmashauri ya kinondoni pia amesema kama kuna tatizo lolote viongozio wa kidini wasisite kuwaona amemaliza kwa kuwashukuru wote waislasm na wasiowaislam kwa kuudhuria kwernye ftari ilioandaliwa na halmashauri ya KINONDONI kwani wameonyesha umoja na mshikamano ametoa wito kwa watanzania wazidi kumuunga mkono rais MAGUFULI kwaku;linda na kutetea raslimali za nchi Pia amewaomba viongozi wa kidini wazidi kumuombea rais MAGUFULI
Habari picha na ALLY THABITI
Habari picha na ALLY THABITI
AMANI NI TUNU
shekh EMEDI JARARA amesema amani tulionayo watanzania ni tunu kubwa ivyo ni vyema tuitunze ,tuilinde na tuithamini kwani tukiipoteza nivigumu kuipata tena Pia amewataka waislam na wasio waislam wasiache kumwabudu Mungu amesema aya kwenye ftari ilioandaliwa na mtaiki meya wa halmashauri ya kinondoni BENJAMINI SITA
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
WAISLAM WAMEASWA KUWAPUUZA WACHOCHEZI WA KIDINI
Haya yamesemwa na mwakilishi wa mufti wa Tanzania ABUBAKARI ZUBERI ambaye ni mjumbe wa ULAMAA shekh ALLY NGERUKO ameenda mbali zaidi kwakuwataka waislam na wasio waislam kulinda umoja wa kitaifa Pia amesema wao viongozi wa kidini wana muunga mkono rais MAGUFULI kwa kusimamia rasilimali za nchi pia wanamuombea kwa mungu yeye na wasaidizi wake kwa kazi nzuri wanazofanya haya amesema kwenye ftari ilioandaliwa na mstaiki meya wa halmashauri ya kinondoni BENJAMINI SITA
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
NENO ZITO LATOLEWA NA SHEKH WA MKOA WA DAR ES SALAAM
ALHAD MUSA SALMU amewataka waislam waendeleze mema utakavyo malizika mwezi mtukufu wa ramadhani Pia amesisitiza kudumisha amani, upendo ,mshikamano na utulivu kwa waislam na wasio waislam amewataka wele wote walio funga watoe sadaka ya mchere kilo mbili na nusu kabla yas kusali EID AL FITR kwa masikini na mafakiri Ametoa wito watu washerekehe sikukukuu ya EID bila vurugu na wasifanye maasi ikiwemo kunywa pommbe na kwenda sehemu za muziki .Hamewaasa wazazi wawalinde na kuwachunga watoto wao shekh mkuu amemaliza na kusema ibada ya EID kitaifa itafanyika mkoani KIRIMANJARO ambapo itaambatana na baraza la EID kwenye viwanja vya polisi CCP ambako mgeni lasmi atakuwa waziri mkuu wa Tanzania MAJARIWA KASIM MAJARIWA kwa mkoa wa DAR ES SALAAM ibada ya EID itafanyika viwanja vya MNAZI MMOJA ambako itaoongozwa na rais mtaafu wa awamu ya pili ALLY HASANI MWINYI amesema haya kwenye ftari ilioandaliwa mstaiki meya wa halmashauri ya kinondoni BENJAMINI SITA
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
Friday, 23 June 2017
MGANGA MKUU WA DAR ES SALAAM ACHANGIA DAMU
GRESI MAGEMBE ni mganga mkuu wa dar es salaam ameshiriki kwenye zoezi la kuchangia damu kwenye be4nki ya damu salama na yeye ametoa damu yake kwaajili ya kuweza kunusulu uhai wa watanzania asa wakina mama wajawazito ambao upoteza maisha pindi wanapo jifungua kwa kupungukiwa na damu ivyo ametoa wito kwa jamii iweze kujitokeza kwaajili ya kutoa damu yao kwenye vituo mbalimbali vya Afya na Ospitali zikiwemo AMANA ,MWANANYAMARA ,TEMEKE ZAKIEMU MUHIMBILI na SINZA PALESTNA
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
WANAFUNNZI WA CHUO KIKUU CHA MLIMANI WAMEASWA KUTUMIA MAKTABA ZA CHUO HICHO
Msimamizi wa maktaba wa chuo kikuu cha mlimani amewataka wanafunzi wa chuo icho watumie maktaba za chuo iko kwaajili ya kujifunza na kufanya tafiti mbalimbali Pia ametoa rai kwa serikali iboreshe nqa ikarabati miundombinu ya maktaba ya chuo icho
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
MENEJA USHAWISHI WA WATU WENYE ULEMAVU AMEWATAKA WATU WENYE ULEMAVU KUCHANGIA DAMU
FRED MSIGARA ni meneja mshawishi wa CCBRT kwa watu wnye ulemavu amesema watu wenye ulemavu wajitokeze kuchangia damu kwenye benki ya damu salama kwani damu iyo itasaidia kunusulu vifo vya mama wajawazito na majerui wanaotokana na ajali pia itakuwa aakiba kwao wakipungukiwa na damu ivyo ataingia gharama ya kununua damu pindi watapoitaji FRED MSIGARA ameongezea akisema nchi yetu ya Tanzania inaitaji kiasi kikubwa cha damu ametoa wito kwa jamii wachangie damu kwa iyali yao na waachane na dhana potofu kuwa damu inauzwa nje ya nchi
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHAISHUKURU KAMPUNI YA ITEL KWAMSAADA
Katibu mtendaji wa kituo cha kulelea watoto yatima cha CHAKUWAMA. ASANI HAMISI ameishukuru kampuni ya itel kwakuweza kuwapa msaada wa chakula na vifaa vya shule kwaajili ya watoto yatima waliokoa kwenye kituochake amesema ukosefu wa pesa na malezi ni changamoto kwa kituo hicho ametoa wito kwa taasisi zingine ziweze kusaidia vituo vya kulea watoto yatima kwani watoto yatima ni watoto wanaishi kwenye mazingira magumu ivyo wanaitaji chakula,elimu pamoja na afya Pia ametoa wito kwaserikali ziweze kusaidia taasisi hizi kwani nazo zinafanya kazi kubwa za kulea watoto hawa CHAKUWAMA ni kituo cha kulelea watoto yatima kilichopo sinza mori kina jumla ya watoto 60 wakike na wakiume wenye umri kuanzia mwaka mmoja na nusu hadi 19
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
KAMPUNI YA SIMU YA ITEL YATOA MKONO WA EID AL FITR KWENYE KITUO CHA WATOTO YATIMA
kituo cha kulelea watoto yatima cha CHAKUWAMA kilichopo sinza mori Mafuta ya kupikia ,mchele, unga wa sembe pamoja na madaftari hivi ndio vitu ambavyo vimetolewa na itel
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
MSANII NGURI WA BONGO MUVI IRENE UWOYA AMEWATAKA WASANII WENZAKE WATEMBELEE VITUO VYENYE WATOTO WENYE MAITAJI MAALUM
IRENE UWOYA nibarozi wa kampuni ya itel amewataka wasanii wenzake watembelee vituo vya kulelea watoto wenye maitaji maalum amesema haya baada ya kuwatembelea watoto yatima wa kituo cha CHAKUWAMA kilichopo sinza mori pia ametoa wito kwa taasisi mbalimbali zitoe msaada kwa watoto wa namna hii amesema amesema haya baada ya kampuni yake ya itel kutoa msaada wa chakula na madaftali kwenye kituo cha CHAKUWAMA
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
NENO ZITO WAPEWA MADAKTARI WA OSPITALI YA MWANANYAMARA
Mmoja ya viongozi wa madaktari amewataka madaktari wa ospitali ya mwananyamara vifaa tiba,madawa na viti mwendo wavitumie kwa walengwa nasi kwawasio walengwa ikibainika hatua kali zitachukuliwa dhidi ya madaktari
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
PICHANI VIFAA VILIVYOTOLEWA NA JUMUIYA YA WAISLAMU
Madaktari wanashuudia viti ,madawa,kiti mwendo pamoja na vingine vilivyo tolewa na jumuiya ya waislamu kwenye Ospitali ya MWANANYAMARA Wilaya ya kinondoni
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
JUMUIYA YA WAISLAMU YAMWAGA VIFAA OSPITALI YA MWANANYAMARA
Kiongozi mkuu wa jumuiya ya waislamu amesema wametoa vifaa na madawa kwenye ospitali ya MWANANYAMARA lengo nikuwasaidia wagonjwa na kuiunga mkono serikali katika kuwahudumia wagonjwa maospitalini ametoa wito kwa taasisi zingine waweze kutoa misaada kama hii na wawafariji wagonjwa
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
CHAMA CHA CUF YAZIKA TOFAUTI ZAO
Mkurugenzi mawasiliano KAMBAYA amesema chama chao cha CUF sasa wamekuwa kitu kimoja na wamekabidhiwa akaunt namba ya BENKI pia watashilikiana na MAALIM SEFU KAMBAYA ametoa wito kwa wana chama wa CUF na wapenzi wao wa BARA na VISIWANI wawe kitu kimoja
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
MENEJA DTB BENKI TAWI LA MOROKO AMTEMBELEA MTOTO MWENYE KICHWA KIKUBWA
Meneja wa tawi la moroko wa DTB BENKI amemtembelea mtoto mwenye ugonjwa wa kichwa kikubwa kwenye Ospitali ya Taifa ya MUHIMBILI aliye fanyiwa upasuaji uku akipata maelezo kutoka kwa mkurugenzi wa MOI
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
EFM REDIO NA DTB BENKI WALEJESHA NDOTO ZA WATOTO WENYE VICHWA VIKUBWA NA MGONGO WAZI
Mtangazaji wa kipindi cha watoto EFM REDIO FROLA AMONI amesema lengo la kutoa msaada wa dawa wao na DTB BENKI kwaajili ya watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi kwenye kitengo cha MOI katika OSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI ili kulejesha ndoto za watoto hawa pia kwaajili ya kuwathamini kwani amesema watoto hawa walikuwa wamesaaulika kwa jamii Taasisi nyingi wanapeleka misaada mingi kwa watu wajane na yatima kwani watoto ni taifa la leo ivyo watoto hawa waweze kusaidiwa nguo vyakula na daipa
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
MOI YAISHUKURU DTB BENKI NA EFM REDIO
Mkurugenzi waMOI amewashukuru DTB BENKI na EFM REDIO kwa msaada wa dawa kwaajili ya watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi kwani dawa zitasaidia kuwatibu watoto hawa Pia amewapongeza kwa kumuunga mkono rais MAGUFULI katika kuelekea Tanzania ya viwanda kwani Taifa lenye wagonjwa aliwezi kupata maendeleo ametoa wito kwa taasisi zingine ziweze kutoa misaada mbalimbali hasa ya dawa kwenye OSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI na ospitali zingine za serikali
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
DTB BENKI YAKABIDHI MSAADA WA DAWA OSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI
mwakilishi wa benki ya DTB akimkabidhi mkurugenzi wa kitengo cha MOI msaada wa dawa wenye thamani ya shilingi milioni 4 dawa hizi zitasaidia watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi wakishilikiana na EFM REDIO
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
Wednesday, 21 June 2017
PICHA YA PAMOJA WAZIRI JENSTA MWAGAMA
Waziri wa vijana,ajira ,kazi na watu wenye ulemavu yupo kwernye picha ya pamoja na viongozi wa shirika la MAKULATA siku ya mtoto wa Afrika na kushehekea miaka 25 ya shirika ili
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
WAZIRI JENSTA MWAGAMA ATOA ZAWADI
baada ya vijana wa shirika la MAKULATA kumaliza mafunzo yao ya ujuzi waziri wa vijana,ajira kazi na watu wenye ulemavu JENSTA MWAGAMA amewapa vyeti
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
SHIRIKA LA MAKULATA LAAKIKISHIWA KUPATA NEEMA KUTOKA SERIKALI KUU
Waziri wa vijana,ajira na watu wenye ulemavu JENSTA MWAGAMA ameliakikishia shirika la MAKULATA kuwa vijana wanaowafundisha ujuzi wa aina mbalinbali serikali itawasaidia kuwarasmisha vijana hao kwenye mfumo VETA ili wapate vyeti na waweze kuajiliwa amesema haya kwenye kilele cha siku ya mtoto wa Afrika ambako uazimishwa kila mwaka tarehe16/6
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
DIWANI WA VITI MAALUMU WA MANISIPAA YA KINONDONI AMEMPONGEZA MEYA WA KINONDONI NA MKURUGENZI WAKE
ROSE ni diwani wa viti maalum amempongeza meya wa kinondoni na mkurugenzi wake baada ya kuakikishiwa madiwani wote kinondoni wote watapewa kadi za bima ya AFYA na viwanja vya makazi yao pia ametoa wito kwa meya na mkurugenzi wake waweze kuingiziwa pesa zao kwa wakati
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
MBWANA SAMATA ATOA ZAWADI NONO
Mchezaji nguri wa mpira wa miguu anaekipiga soka la kulipwa URAYA na pia ni kepteni wa timu ya TAIFA YA TANZANIA MBWANA ALLY SAMATA akiambatana na mkurugenzi mtendaji wa benki ya DTB amempa mtoto zawadi ya mpira kama jkielelezo cha mtoto huyu kuendelena na kukuza kipaji chake cha mpira
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
JUMUIYA YA MABAHARIA TANZANIA YAMPONGEZA RAIS MAGUFULI
FLENKI CHUMA mwenyekiti wa mabaharia Tanzania kwaniaba ya mabaharia wenzake wamempongeza rais MAGUFULI kwakupambana na wadhirifu na kuzuia makontena yenye mchanga wa dhahabu pia jumuiya ya mabaharia imemuomba rais MAGUFULI aweze kurudisha nasako bandarini kwani itasaidia kuondoa ubadhirifu bandarini pia italeta ajira kwa watanzania wametoa wito kwa rais MAGUFULI aweze kushirikiana na watu wa meri
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
MKURUGENZI WA MANISIPAA YA KINONDONI AWATOA OFU MADIWANI WA KINONDONI
Kutokana na kuondolewa kodi ya mabango ya matangazo kwapesa kukusanywa na serikali kuu ya mabango hayo na si manisipaa tena Mkurugenzi wa manisipaa ya kinondoni amewatoa ofu madiwani wa kinondoni katika kupata pesa za miradi mbalimbali pia amewataka madiwani wabuni njia zxa kupata pesa na si kulalamika
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
BENKI YA DTB YAMKUTANISHA SAMATA NA WATOTO
Katika kuazisha siku ya mtoto wa Afrika banki ya DTB imeweza kumsainisha MBWANA SAMATA mkataba wa miezi 6 ili awe barozi wa benki yao na hapa MBWANA SAMATA akijumuika na watoto kwenye viwanja vya kidongo chekundu
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
BARAZA LA MADIWANI LA KINONDONI LAMWAGA PONGEZI KWA RAIS MAGUFULI
Meya wa kinondoni BENI SITA kwaniaba ya madiwani wa kinondoni wamempongeza rais MAGUFULI kwakuweza kusimamia na kulinda rasilimari za Tanzania kwakuweza kuwafichua m,afisadi wa mchanga wa madini pia meya wa kinondoni amesema lengo lao kukusanya bilioni 43 ametoa wito kwa jamii kuweza kuwaunga mkono
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
Tuesday, 20 June 2017
TAMWA YAPONGEZWA KWA KUWAKUTANISHA WADAU SIKU YA MTOTO WA AFIRIKA
SHEKH SHOMARI MCHONGOMA ameipongeza tamwa kwa kuweza kuwakutanisha viongozi wa dini na waandishi wa habari amesema kukutana kwao kutasaidia kuweka nguvu ya pamoja kwaajili ya kupiga vita dhidi ya ukatili wa kijinsia wanaofanyiwa watoto ametoa wito kwa jamii kutoa malezi bora,malezi mazuri na kuwaurumia watoto ili waishi katika maisha ya matumaini,amani na faraja shekh SHOMARI MCHONGOMA mjumbe wa baraza la BAKWATA jijini dar es salaamu amewaomba TAMWA wazidi kuwakutanisha na wadau mbalimbali kwaajili ya kuelimishana na kufunzana jinsi ya kupiga vita ukatili wa kijinsia kwa watoto amesema haya kwenye ofisi za TAMWA zilizopo sinza mori
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
SHINA LA DHAMBI LIMEKUWA CHANZO KIKUBWA CHA UKATILI WA KIJINSIA KWA WATOTO
LUKASI SINGILI katibu mkuu mstaafu wa kanisa la ANGRIKANA dayosisi ya PWANI amesema shina la dhambi ni kikwazo kikubwa cha ukatili wa kijinsia kwa watoto hivyo amewataka viongozi wenzake wa kidini watoe elimu ya kutosha kwa waumini juu ya kuachana na vitendo vya ukatili wa kijinsia pia amewataka watanzania wawe na hofu ya Mungu na wamuogope amesema haya kwenye semina ya TAMWA iliyojumuisha waandishi wa habari na viongozi wa dini yeye akiwakilisha CCT pia ametoa wito kwa asasi zingine zitoe semina kama TAMWA
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
MWANA SAIKOROJIA WA TAMWA AELEZA UKATILI UNAVYOMUATHILI MTOTO
JOHN AMBUROSEamesema watoto wanapo nyanyasika kijinsia wanaasilika kibaiorojia ,kisaikorojia na kijamii ivyo amewata waandishi wa habari na viongozi wa dini watoe elimu ya kutosha kwa jamii kuusu ukatili wa kijinsia unavyowaathili watoto Pia ameelezea madhara ya muda mrefu na muda mfupi wanayoyapata watoto kutokana na ukatili wa kijinsia amesema haya kwenye semina ya siku moja kati ya viongozi wa dini na waandishi wa habari ilioandaliwa na TAMWA siku ya kilele cha mtoto wa afirika inayoazimishwa tarehe 16/6 kila mwaka semina iyo imefanyika kwenye ofisi zaTAMWA zilizopo sinza mori
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
Subscribe to:
Posts (Atom)