Ernist Hizza Mhadhiri Mkuu wa Idara ya Udaili na Utunzaji wa Kumbukumbu za Wanafunzi Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi .amesema kwakutambuwa umuhimu wa Wajasilia mali wameamuwa kuzirejea kozi 11.
Lengo Kuwajenga na Kuwainua WÃ jasilia Mali iliwaweze kufanya biashara zao Kwa kuzingatia kanuni,taratibu za biashara. Pia kozi hizi zitasaidia kujiajili na kuajiliwa Kwa Wahitimu wa Ujasilia Mali.
Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi kina Matawi kwenye Mikoa 13 kozi zinazotolewa .Certificate in Accounting and Finance,Certificate in Coffee Quality and Trade,Certicate in Enterprise Development na zinginezo .
Diploma in Microfinance Management,Diploma in Business Enterprise Management, Diploma in Library and Information Science na zinginezo .
Bachelor of Accounting and Finance,Bachelor of Accounting and Taxation,Bachelor of Cooperative Management and Accounting na zinginezo.
Pia wanatoa Postgraduate , Master na PhD by Research .Kwa maelezo zaidi piga namba +255 272 754401 Fax +255 272 750 806 .E - mail info@mocu.ac.tz na Website www.mocu.ac.tz.
Amesema haya kwenye Maonyesho ya Vyuo Vikuu viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dsm.
Habari na Ally Thabiti