Kaimu mwakilishi mkazi LULU MWANA KILALA wa jenda HEARTH ameasema afya ya uzazi imekuwa ni kikwazo kwa vijana kwasababu aiwafikii vijana walioko vijijini na matokeo yake kuwepo kwa mimba za utotoni na ongezeko la vijana walioathilika na UKIMWI LULU MWANA KILALA amesema mpaka sasa wametoa mafunzo kwa vijana 150 na vikundi 70 vya vijana kwenye mikoa 15 Tanzania
habari picha na ALLY THABITI
Wednesday, 30 August 2017
VIJANA WAICHACHAMALIA SERIKALI
BENI kutoka mkoani Dodoma amesema wanaitaka serikali iwakatie bima vijana lengo waweze kupata uhakika wa matibabu Pia amezitaka taasisi mbalimbali pamoja na serikali ziwape nafasi vijana katika upangaji na utoaji wa maamuzi ya kimaendeleo wawape nafasi vijana wenyewe ili waweze kutatua changamoto zinazowakabili amesema haya kwenye mkutano wa kitaifa wa vijana wa siku 3 ambao umefanyika kwenye ukumbi wa mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
MFUMO WA VYAMA VINGI USIWAGAWE VIJANA
Mdau wa vijana STERA MANDA amewataka vijana wa kitanzania mfumo wa vyama vingi usiwagawe vijana badala yake watie nguvu katika kujenga umoja wao ili wafikie malengo ametoa rai kwa vijana watumie fursa zilizopo nchini Tanzania ili watatue changamoto zinazo wakabili kama Ajira na afya amesema haya kwenye mkutano wa kitaifa wa vijana ambao umefanyika kwenye ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam jumla ya vijana 180 wameshiriki kutoka mikoa mbalimbali
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
Sunday, 27 August 2017
MAKAMPUNI YA UJENZI YAAKIKISHIWA NEEMA
Mgeni rasmi OSWADI ameyaakikishia makampuni ya ujenzi nchini Tanzania watawakopesha kiasi cha pesa chochote watakacho itaji kwa masharti nafuu ili wafikie malengo yao pia ameipongeza kampuni ya ECOBOXI kwakuja na mfumo mzuri wa utunzqaji wa mazingira uasusani wa maji taka
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
KAMPUNI YA UUZAJI VIWANJA YAJA KUONDOA FIGISUFIGISU ZA VIWANJA
Meneja masoko wa kampuni ya kuuza viwanja LUSAJO KONDOBOLE amesema wamekuja na mfumo wa kununua viwanja wateja wao kwanjia ya intaneti lengo ni kuondoa utapeli,usalama wa viwanja na pese za wateja wao pia kuokoa muda na gharama za kufuatilia manunuzi ya kiwanja na kuepukana na matapeli ametoa rai kwa watanzania wawaunge mkono kwa asilimia100 Wana mradi MBONDOLE CHANIKA na MAWENI TANGA
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
KAMPUNI YA ECOBOXI YAJA NA MWARUBAINI KWA UCHAFUZI WA MAZINGIRA NCHINI TANZANIA
JEMSI LIZOMBA wakampuni ya ECOBOXI amesema wamekuja na mfumo mpya wa kutibu maji machafu na kutumika tena katika uoshaji magari, kumwagilia bustani na kusafishia chooni lengo ni kuondoa uchafuzi wa mazingira kwa maji taka ndio maana wamekuja na jibu maji haya kutumika tena ambako itasaidia kupungua ugonjwa wa kipindupindu na kunusulu uchafuzi wa vyanzo vya maji JEMSI LIZOMBA amesema ofisi zao zinapatikana Mikocheni kwa Warioba
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
NSSF YATEKELEZA KWA UADILIFU AGIZO LA RAIS MAGUFULI
Afsa mauzo wa mfuko wa ifadhi ya jamii NSSF SAIDI SILAJI amesema wao wanamuunga mkono rais MAGUFULI kwa kuelekea Tanzania ya viwanda kwani wanajenga kiwanda kikubwa cha sukari mkoani morogoro eneo la MKURAZI lengo kuondoa hadha ya sukari na kuongeza ajira kwa vijana wa kitanzania pia ameeleza miradi mikubwa ya ujenzi wa nyumba za makazi ya watu eneo la mtoni KIJICHI na KILUVYA za kisasa na bei nafuu
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
CTM YAJA KIVINGINE
Kampuni ya CTM yaleta malumalu za kisasa za bei nafuu na zenye ubora wa hali ya juu pia wana Mabo za kisasa lengo lao kila mtanzania aweze kutumia bidhaa zao wenye matabaka yote ofisi zao zipo mikocheni haya amesema meneja mauzo AROISI MAIKO kwenye maonyesho ya mlimani CITY jijini dar es salaam
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
TEMBO SIMENTI YAJA KUONDOA MATATIZOYA NYUMBA
DEVID FILIPO amesema wameamua kuja na TEMBO SIMENTI lengo kuondoa matatizo ya kubomoka nyumba nchini Tanzania kutokana na simenti zisizo na ubora TEMBO SIMENTI inauwezo wa kuzuia mashambuliziya chumvi,magadi na madini ya salfeti kwenye udongo DAVID FILIPO amewataka wakazi wa Dar es salaam kutumia simenti yao kwani wanaasiliwa na chumvi na mchanga ivyo tembo simenti ndio suluisho la matatizo ya nyumba zao wanapatikana Sumbawanga,Mbeya, Songea ,Mpanda na sasa wapo Dar es salaam
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
KAMPUNI YA KISHERIA YAJA KUMALIZA MIGOGORO MIZITO TANZANIA
Kampuni ya ABC ATTORNEYS ni kampuni ya kisheria ambayo inatoa msaada wa kisheri bure lengo lao kuondoa migogoro wakati wa ujenzi ususani upande wa Ardhi Mwanasheria DAKIRA amesemakampuni yao baada ya kufanya utafiti wa kutosha wakagungua upande wa ujenzi kuna migogoro mingi sana ndio maana wameamua kutoa msaada wa kisheria bure tena wamefungua tovuti yao kwaajili kwaajili ya kupata msaada wa kisheria bure na ofisi zao zinapatikana Mbezi biichi na jijini Arusha na sasa wapo mbioni kufungua ofisi zao Mwanza na Dodoma
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
UBABAISHAJI NA OFU KWENYE UJENZI KWISHA KABISA
ANAELI EPAINETO MLIKARIA wa kampuni ya ujenzi ya AFRICA PREFABS Creating solutions amesema wamekuja na teknorojia mpya na yakisasa katika ujenzi wa nyumba za aina zote lengo kuimwezesha kila mtanzania na asiye mtanzania kumiliki nyumba bora na za kisasa ameongezea kwa kuwatoa ofu wateja wao kuwa ujenzi wao unatumia gharama ndogo na kwa muda mfupi asa kwa matirio bora na vifaa vya kisasa vyenye teknorojia mpya ametoa wito kwa jamii waweze kuwaunga mkono na ameiomba serikali waunge mkono na ofisi zao zinapatikana Mbezi biichi jijini Dar es salaam pia amewashukuru watanzania kwa kuwapokea kwa shangwe kubwa amesema haya kwenye maonyesho ya siku2 eneo la mlimani CITY
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
KAMPUNI ILIYOPEWA DHAMANA YAKUSIMAMIA TUZO YAAIDI MEMA
Kampuni iliyopewa dhamana ya kusimamia tuzo za waajili na waajiliwa imeaidi kusimamia kwa uweredi na uhadilifu bila shaka yeyote moja ya viongozi wa kampuni amekipongeza chama cha wafanyakazi Tanzania ATE kwani ushindani huu utasaidia kwa kiasi kikubwa katika utendaji wa kazi kwa wafanyakazi na waajili
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
WAAJILI NA WAAJILIWA KUCHUANA KWENYE TUZO
Mkurugenzi mtendaji wa chama cha wafanyakazi Tanzania ATE amewataka watu wa sekta binausi na sekta za umma kushiriki kwenye tuzo zitakazo tolewa tarehe 8/12/2017 kwa waajili na waajiliwa lengo kuwakutanisha watu wa sekta binausi na sekta za umma kubadilishana ujuzi na uzoefu
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
WATANZANIA WATAKIWA KUTUMIA BIDHAA YA KAMPUNI YA KIWEMAKA HARDWARE AND GENERAL SUPPLIES COMPANY LIMITED
HARUN WEGGORO amesema kutokana na ubora wa bidhaa zao amewataka watanzania watumie bidhaa zao ususani katika maswala ya ujenzi ya miundombinu amesema haya kwenye maonyesho ya mlimani CITY jijini Dar es salaam HARUN WEGGORO amewata wanaotaka bidhaa zao na huduma zao waende Buguruni sheri ametoa wito kwa jamii kwa ujenzi bora watumie bidhaa kutoka kwao
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
MDAU ATOA PONGEZI MZITO
FRANSSE NJORAM MTAKIJE ameipongeza kampuni GEARED CONSULTING ENGINEERS LTD kwa ufumbuzi wa matatizo ya umeme nchini Tanzania kwani swala la rangi kwenye umeme limekuwa tatizo mda mrefu ivyo ujio wa kampuni hii inayoongozwa na mwandisi WARDA ESTER imeweza kutatuwa tatizo la mda mrefu ametoa rai kwa serikali kumuunga mkono mwandisi WARDA ESTER kwajitiada zake anazozifanya kwani serikali ikimuunga mkono tutafanikiwa kuelekea Tanzania ya viwanda kwani bila umeme wa uhakika viwanda amna
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
MWANDISI AJA NA SULUISHO LA UMEME MAJUMBANI
Mkurugenzi wa kampuni ya GEARED CONSULTING ENGINEERS LTD WARDA ESTER amesema kampuni yao inatoa elimu kuusu maswala ya umeme asa katika kutofautisha rangi lengo kuondoa maafa yanayotokana na maafa yanayotokea majumbani na viwandani amesema haya kwenye maonyesho ya siku 2 kwenye ukumbi wa mlimani City jijini Dar es salaam wale ambao wanaitaji huduma kutoka kwao wanapatikana kupitia namba za simu 0718754694 au 0767654694 na ya mwisho ni 0785911260 kwa barua pepe md@geared-consult.co.tz mwandisi WARDA ESTER ametoa wito kwa jamii kwa elimu na mafunzo bora wawasiliane nao kupitia namba zao za simu na barua pepe
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
Wednesday, 23 August 2017
JAMII YA KITANZANIA YAKIWA KUACHA MIRA NA DESTUL POTOFU
ERIZABETI KWAYU amezitaka jamii za kitanzania waachane nmiranadestuli potofu juu ya mtoto wa kike ambako jamii kubwa ya kitanzania inaamini kuwa mtoto wa kike yupo kwaajili ya kuolewa ambacho kitu ichi sio kweli kwani yeye mtoto wa kike amepiga atuwa kubwa baada ya kusoma na sasa anaelekea nchini JAPAN kwaajili ya kujiendeleza kimasomo pia ana kampuni yake ya ushonaji nguo za aina mbalimbali jijini MBEYA ametoa ujumbe kwa watoto wa kike wasome kwa bidii na wapuuze miranadestuli potofu zidi yao amesema haya kwenye mkutano uliofanyika kwenye hotel ya PROTEA jijini Dar es salaam
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
KIJANA WA KITANZANIA AIPONGEZA JAPAN
JONH LUKASI amesema fursa alioipata kwenda kusoma JAPAN ataitumia vizuri kwa kuwasaidia watanzania waweze kuongeza kipatyo kwenye biashara zao na wawe wachangiaji wakubwa kwenye mapato ya serikali ya Tanzania pia amelipongeza shilika la maendeleo ya japan [JICA] kwa kuwapa nafasi ya kwenda kusoma JAPAN
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
BAROZI WA JAPAN NCHINI TANZANIA ATOA MWONGOZO KUELEKEA MAENDELEO
Barozi anaeiwakilisha nchi ya JAPAN nchini Tanzania amewataka watanzania wapige vita ,rushwa, maradhi na umaskini ndipo watapopata mafanikio makubwa pia amewasii vijana 8 wa kitanzania wanaoenda kusoma nchini JAPAN wazingatie na watekeleze kwa vitendo watakayo fundishwa amesema haya kwenye mkutano uliofanyika kwenye hotel ya PROTEA eneo la Upanga jijini Dar es salaam
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
SERIKALI KUWAPIGA TAFU VIJANA 8
Mwakilishi wa serikali amesema vijana 8 wanaoenda kusoma JAPAN watawasaidia kwa kuwapa ajira lengo waongeze uzalishaji kwenye viwanda vya Tanzaniia vijana hawa8 wakitanzania wanaenda kusoma JAPAN kwa msaada wa shilika la maendeleo ya JAPAN [JICA]
Habari picha na ALLY THABITI
Habari picha na ALLY THABITI
MWENYEKITI WA MAANDALIZI YA TIGO FIESTA AHAIDI MAZITO
Mwenyekiti wa TIGO FIESTA
kutoka CLOUDS SEBASTIANI MAFGANGA amesema mwaka huu watanzania watarajie burudani nzuri ,bidhaa boro na uhibuaji wa vipaji sehemu mbalimbali kutoka kwenye TIGO FIESTA pia amewataka wakazi wa NJOMBE na mikoa mingine wajitokeze kwa wingi kwenye TIGO FIESTA
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
kutoka CLOUDS SEBASTIANI MAFGANGA amesema mwaka huu watanzania watarajie burudani nzuri ,bidhaa boro na uhibuaji wa vipaji sehemu mbalimbali kutoka kwenye TIGO FIESTA pia amewataka wakazi wa NJOMBE na mikoa mingine wajitokeze kwa wingi kwenye TIGO FIESTA
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
TIGO YADHAMINI FIESTA KWA MARA NYINGINE
Kaimu mkurugenzi wa masoko wa Tigo WILIAM MPINGA amesema lengo la kudhamini tamasha kubwa ;la FIESTA N ni kuwawezesha wasanii kiuchumi na kuwafikishia wananchi huduma na bidhaa za tigo kwa ukaribu na uraisi zaidi kaimu mkurugenzi wa masoko wa tigo WILIAM MPINGA amesema tamasha la fiesta mwaka huu 2017 limeongezewa hadhi ya kuitwa TIGO FIESTA lengo nikuonesha jinsi gani tigo wanavyolijali na kulithamini tamasha la fiesta na wananchi kwa ujumla ametoa rai kwa jamii na wasanii kutumia vizuri na vyema fursa ya TIGO FIESTA kwani watanufaika kiuchumi
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
JESHI LA POLISI LAAHIDI KUTOA ELIMU KWA WAENDESHA BODABODA
Kamishna msaidizi wa jeshi la polisi Tanzania ameaidi kuendelea kuwapa elimu waendesha bodaboda Tannzania lengo kuondoa vifo na majerui kwa waendesha bodaboda na abilia amewataka waendesha bodaboda kuijali na kuithamini kazi ya bodaboda kwani ni ajira kama ajira zingine na inawaletea kipato kikubwa amemalizia kwa kuwapongeza waandaaji wa kipindi cha bodaboda
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
WAENDESHA BODA BODA WAPATA PAKUSEMEA YAO YA MOYONI
Mwenyekiti wa chama cha waendesha boda boda amepongeza kuanzishwa kwa kipindi kinachousu waendesha bodaboda kupitia CLOUDS TV kila siku ya juma tano saa o2;00 usiku na maludio jumapili saa 02;00 usiku kupitia kipindi hiki wataelimika na kuielimisha jamii juu ya boda boda
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
WAENDESHA BODABODA WAPIGWA MKWARA MZITO
Chama cha kutetea abilia CHAKUWA chawataka waendesha bodaboda kutii sheria bila shuluti kwani wakifanya ivyo watapunguza ajali nyingi zinazotokea pia abilia nao wameaswa wasiwe chanzo cha ajali
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
HADHA YA MAJI SASA BASI
Afsa mtendaji wa dawasco SIPIRIANI LUWEMEJA ameaidi kuwa wakazi wa dar es salaam wataondokana na adha ya maji kwani dawasco wametenga shilingi bilioni 23 kwaajili ya kuondoa mitambo iliochakaa na mpaka sasa wameweza kupunguza umwagikaji wa maji kutoka asilimia 55 adi asilimia 38 na ifikapo mwezi wa9 tatizo la maji jijini Dar es salaam alitakuwepo ametoa rai kwa jamii watoe taarifa kwa wakati dawasco na wawe karibu nao
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
WIZARA YA NISHATI NA MADINI YATOA BARAKA KWA VIJANA WA KITANZANIA
Naibu waziri wa wizara ya nishati na madini amewatakia masomo mema vijana 20 wanaoenda kupata mafunzo nchini CHINA kwenye sekta ya mafuta na gesi ivyo amewasii waitumie fursa walioipata kwa kwenda na wazingatie mafunzo watakayo pewa kwani inatija kwao na taifa kwa ujumla lengo la kuwapeleka vijana hawa serikali inataka kuondoa gharama za kuwatumia wataalam kutoka nje ya nchi kwenye sekta ya mafuta na gesi
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
MKURUGENZI WA UTAWARA NA USIMAMIZI WA RASILIMALI WATU ATOA NENO KWA WANAOENDA KUSOMA NJE
habari picha na ALLY THABITI
CHAMA CHA MAWAKALA WA FORODHA CHAPONGEZWA KWA KULETA FURSA NCHINI TANZANIA
LUKIA SHAMTE ni mdau wa chama cha forodha amekipongeza chama cha forodha nchini Tanzania kwa kuandaa na kuwaleta wataalam wa forodha kwenye mkutano mkubwa kwani watanufaika kwa kupata utaalam mbalimbali ivyo changamoto za kuchelewa mizigo bandarini na kulundikana kwa meli itabaki kuwa istoria kupitia wataalam waliopo kwenye mkutano huu LUKIA SHAMTE amewaasa wauzuliaji wa mkutano watumie fursa vizuri kutoka kwa wataalam kwani tija kubwa itaonekana kwa mawakala na serikali kwakuwa gharama zitapungua na muda pia na pesa zitakazo bakia zitapelekwa kwenye maendeleo mengine ya kijamii
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
MAWAKALA WA FORODHA WAIPONGEZA SERIKALI KWA KUTOA BILIONI 2.5
Katibu mkuu wa mawakala wa forodha TONI SWAI ameipongeza serikali kwa kutoa bilioni2.5 kwaajili ya utanuzi wa bandari ya Dar es salaam kwani itawawezesha mawakala wa forodha kufanya kazi kwa alaka ,ubora na ufanisi zaidi kwani akutakuwa na foleni kwenye utoaji mizigo bandarini na kuondoa foleni za meli amesema haya kwenye mkutano wa kimataifa wa siku3 uliojumuisha mawakala wa forodha wapatao 250 kutoka nchi mbalimbali pia amempongeza waziri mkuu kwa uboleshaji wa bandari ya Dar es salaam ambae kawakilishwa na waziri wa ujenzi na uchukuzi porf MAKAME MBARAWA akiwa mgeni rasmi ametoa wito kwa mawakala wa forodha kutekeleza kwa vitendo maagizo ya serikali . yeye katibu mkuu wa mawakala wa forodha TONI SWAI ameaidi kutekeleza kwa vitendo mkutano umeanza tarehe23/8/2017 na utamalizika 26/8/2017 kunduchi kwenye hotel ya RAMADA jijini Dar es salaam
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
Saturday, 12 August 2017
WAZIRI WA ELIMU WA ZANZIBAR ATOA MAAGIZO KWA PSPF
Waziri wa elimu wa Zanzibar RIZIKI PEMBE JUMA amewaagiza PSPF kuboresha huduma zao ziwe za wazi kwa wanachama wao pindi wanapoitaji kwenda kusoma vyuoni na kuongeza kasi ya uwelewa wa wateja wao amesema haya baada ya kutembelea banda la PSPF kwenye maonyesho yalioandaliwa na tume ya vyuo vikuu Tanzania[TCU]
Habari picha na ALLY THABITI
Habari picha na ALLY THABITI
ABDULI NJAIDI WA PSPF AKITOA NENO KWA WAZIRI
ABDULI NJAIDI wa PSPF asema PSPF wanatoa fursa kwa wanachama wao kwenda kusoma kwenye vyuo vya apa nchini na nje ya nchi baada ya kutembelewa na mgeni rasimi waziri wa elimu wa Zanzibar RIZIKI PEMBE JUMA pichani kama inavyoonekana
habari picha na VICTORIA STNSLAUS
habari picha na VICTORIA STNSLAUS
WAZIRI WA ELIMU WA ZANZIBAR AIPONGEZA TCU
habari picha na ALLY THABITI
CUF YAWATAKA WANA HABARI KUTOA HABARI KWA UWEREDI
Naibu mkurugenzi wa mawasiliano na habari wa chama cha CUF amewataka wana habari watoe taarifa asa za mahakamani kwa uweredi zaidi amesema haya baada ya vyombo vya habari kutoa taarifa kuwa shauri lao walilopeleka mahakamani limetupiliwa mbali jambo sio la kweli kuusu wale wabunge8 na madiwani 2 waliovuliwa nyadhifa zao na mwenyekiti LIPUMBA na kusema mchakato wa kesi yao unaendelea mahakamani
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
GLOBAR LINKI EDUCATION YAWATAKA WATANZANIA KUCHANGAMKIA FURSA YA KWENDA KUSOMA VYUO VYA NJE
MEDATI SOTA ni meneja miradi wa taasisi ya GLOBAL LINKI EDUCATION amewataka watanzania wajiunge na taasisi yao pindi wanapoitaji kuwatafutia watoto wao au wao wenyewe vyuo vya kwenda kusoma nje ya nchi kwani wao wanatafutia vyuo vinavyotoa elimu bora na yenye tija pia amesema lengo lao ni kuunga mkono rais MAGUFULI katika kuelekea Tanzania ya viwanda na Uchumi wa kati kwa kuwapeleka wanafunzi nje yanchi kwa gharama nafuu kwa wale wanao itaji kupata huduma zao wana patikama Mwanza, Arusha, Dar es salaam kwenye viwanja vya maonyesho vya sabasaba ndipo ofisi zao zilipo na wameenea kwa kiasi kikubwa Tanzania MEDATI SOTA meneja miradi amesema haya kwenye maonyesho ya vyuo vikuu yalioandaliwa na TCU jijini Dar es salaam wilaya ya Ilala viwanja vya mnazi mmoja
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
PICHANI MUONEKANO MPYA WA KAMPUNI YAO
Bidhaa ya rangi wanazo tumia ni hizi kama unavyoziona kwenye picha ya pamoja
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
KAMPUNI YA KANSAI PLASCON YAWATOA OFU WAFANYA KAZI WAKE
habari picha na ALLY THABITI
WANAWAKE WATAKIWA WAWE CHACHU YA UKUAJI WA KIUCHUMI AFRIKA
Moja ya viongozi wa wanawake wa bara la Afrika amewataka wanawake wote wa Afrika walete mabadiliko makubwa kwenye ukuaji wa uchumi kwenye nchi zao za kiafrika na waachane kuwa tegemezi katika jamii zao kwani wanawake wana nguvu,akili,ujuzi ,maarifa na ubunifu mkubwa amesema haya kwenye mkutano wa siku4 uliofanyika nchini Tanzania jijini Dar es salaam kwenye hotel ya KILIMANJARO iliyopo POSTA ambako imejumuisha wanawake kutoka nchi mbalimbali za kiafrika ameipongeza nchi ya Tanzania kwa kuwatetea ,kuwajali, kuwathamini na kuwapa fursa mbalimbali za uongozi kwenye serikali na taasisi binausi wanawake wa kitanzania
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
NAIKE MOSHI AMEAIDI KUITUMIA FURSA YA MKUTANO VIZURI
Mkurugenzi NAIKE wa kampuni ya CVPEOPLE AFRIKA amesema kampuni yake ambayo inajishuulisha na kuunganisha watu wanaotafuta kazi na wanao ajili ivyo kupitia mkutano huu wameweza kunufaika kwa kiasi kikubwa katika kupata surluisho la ajira kwa watoto wakike wa kitanzania kwenda kufanya kazi nchi za nje pia amenufaika kwa kupata muunganiko na watu wa sekta mbalimbali Pia waliojifunza kwenye mkutano huu wa siku4 wataenda kuwaelimisha wanawake wenzao na jamii kwa ujumla ametoa wito kwa serikali kubadili sera na sheria kandamizi dhidi ya mwanamke ikiwemo umiliki wa ardhi,sheria ya mirathi na zinginezo ameiasa jamii kuachana na mila na destuli potofu dhidi ya mwanamke na ametoa rai kwa wanawake wa kitanzania wachangamkie fursa mbalimbali za kimaendeleo na kiuchumi
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
WANAWAKE WATAKIWA KULETA MAPINDUZI YA KIUCHUMI
Rais wa kwanza wa bunge la afrika mama GETRUDI MONGERA amewataka wanawake wa kiafrika walete mapinduzi ya kiuchumi katika bara la Afrika lengo waondokane na ukandamizwaji na mila potofu dhidi yao amesema haya jijini Dar es salaam nchini Tanzania kwenye mkutano wa siku4 uliofanyika kwenye hotel ya KILIMANJARO POSTA ametoa wito kwa jamii ihachane na dhana potofu dhidi ya mwanamke
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
Friday, 11 August 2017
WASHINDI WA HARAKATI ZA LUCY WATOA NENO ZITO
GWAMWAKA MWAGUKA nikiongozi wa harakati za lucy amesema miaka miwili iliopita walikuwa wanaenda kwenye shule za secondary kutoa elimu juu ya afya ya uzazi lengo ni kuwasidia watoto wa kike kutokosa elimu kwaajili ya mimba za utotoni na kutofanya vizuri kwaajili ya edhi wameweza kufanikiwa kwa kiasi kikubwa kwa kutoa elimu kwenye mikoa 8 ikiwemo jijini Dar es salaam changamoto walizokuwa wanakutana nazo ukosefu wa fedha ivyo baada ya kupata milioni 15 kutoka UNFPA kazi yao ya uelimishaji itaongezeka zaidi na amempongeza kaimu mwakilishi mkazi wa UNFPA dokta ASHINA BEGA na watendaji wake wote kwa kuja na wazo zuri ametoa rai kwa taasisi mbalimbali na serikali kufadhili vijana kama wao wanao saidia Taifa Pia ametoa wito kwa jamii kuachana na mira na desturi potofu na kandamizi zidi ya mtoto wa kike
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
HAWA NDIO VINARA WA UNFPA
Kaimu mwakilishi mkazi wa UNFPA dokta ASHINA BEGA akiwa kwenye picha ya pamoja na washindi pia amewaasa washindi hawa fedha walizoshinda wazitumie kwaajili ya malengo yalio kusudiwa ususani katika kuibua matatizo mbalimbali ya jamii ikiwemo Afya ,elimu ,mimba za utotoni na matumizi ya uzazi wa mpango
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
UN YAWATAKA VIJANA WA KITANZANIA KUTOKATA TAMAA
Mwakilishi mkazi wa umoja wa mataifa ALL VARO LWEDRUGEZI [UN] amewataka vijana wa kitanzania kutokata tamaa pindi wanaposhindwa kufanya vizuri kwenye miradi mbalimbali amesema haya kwenye mashindano ya vijana wa kitanzania waliofanya tafiti mbalimbali kwenye mradi ulioandaliwa na NFPA na amewapongeza wale wote waliofanya vizuri ambako mshindi wa kwanza amepata milioni 15 fedha ya kitanzania ambayo sawa na dola 6000 umoja wa mataifa umeaidi kushilikiana bega kwa bega na vijana walioshinda na walioshindwa lengo kuisaidia tanzania kuondokana na maradhi mbalimbali na kukuza uchumi wao pia amewashukuru UNFPA kwa kubuni wazo zuri lenye tija kwa vijana wa kitanzania kwani limeongeza ajira kwa vijana na kuibu changamoto za afya ya uzazi
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
VIJANA WAIPONGEZA UNFPA
JUMANNE MTAMBALIKE mkurugenzi mtendaji wa SAHARA amesema wanaipongeza UNFPA kwa kuwasaidia vijana wa kitanzania kwa kufanya tafiti zenye tija ikiwemo kampuni yao ya SAHARA ambayo imefanya tafiti ya maswala ya ujasiliamali na afya ya uzazi kwani watanzania wengi wameelimika kupitia mradi wao amewapongeza UNFPA kwa kuleta mpango huu wa afya ya uzazi kwani umeibua changamoto nyingi za afya ya uzazi na zimeweza kupatiwa ufumbuzi na mradi huu umeongeza ajira kwa vijana JUMANNE MTAMBALIKE mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya SAHARA ametoa rai kwa UNFPA wazidi kuleta miradi mingi zaidi kwani ina tija kwa Taifa
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
KAMPUNI YA BIMA YA AFYA YA AAR YAJA NA MIKAKATI MIZITO
TABIA MASUDI meneja mauzo na masoko wa kampuni ya bima ya afya ya AAR amesema ifikapo mwaka 2018 kampuni yao itatoa bima za magari na zinginezo pia kwa sasa wamezinduwa mfumo wa kujiunga kwa kupitia simu ya mkononi lengo kuwafikia wananchi kwa ukaribu zaidi swala la kuwapa elimu watoto wa shule za msingi na watu wazima kuusu bima ya afya ya AAR ni kuwasaidia pindi watakapo jkuwa wanaumwa bima ya afya ya AAR ni bima bora na ni nzuri kwani inatoa huduma zao kwa bei nafuu na kwa wananchi wenye kipato kidogo TABIA MASUDI meneja masoko na mauzo wa AAR amweipongeza serikali kwa jitiada zao za kuelimisha jamii umuhimu wa kujiunga na bima za afya kwa kupitia wizara ya afya na wizara ya fedha ametoa wito kwa jamii wajiunge na bima ya afya ya AAR kwani ni bima inayotoa huduma boera Ameiomba serikali wazidi kuunga mkono makampuni ya bima ya afya hapa nchini
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
Wednesday, 9 August 2017
VIJANA 200 WA SHULE ZA SEKONDARI KUSHIRIKI MAONYESHO YA KISAYANSI
GOZBETI KAMGISHA kutoka tasisi inayoshuurika na kuamasisha vijana wa kitanzania kupenda kusoma masomo ya sayansi amesema wameamua kufanya maonyesho ya wanafunzi wa shule za sekondari kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita tarehe 8 na 9 ya mwaka 2017 lengo ni kuwawezesha vijana hawa kuonyesha utaharamu wao wa kisayansi katika utafiti jinsi unavyosaidia kutatua matatizo kwenye jamii kwenye sekta ya Afya, kilimo na maji wanafunzi hawa wataambatana na walimu 100 kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
Subscribe to:
Posts (Atom)