habari picha na VICTORIA STANSLAUS
Thursday, 28 September 2017
WANA HABARI WATAKIWA KUTEKELEZA KANUNI MPYA
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
WIZARA YA KILIMO YAJA NA MAJAWABU YA WAKULIMA
habari picha na ALLY THABITI
Wednesday, 27 September 2017
MABAHARIA WATOA KILIO CHAO SERIKALINI
Mwenyekiti wa jumuia ya mabaharia Tanzania FRENKI CHUMA ameitaka serikali iweze kuludisha shirika la nasako lengo chombo hiki kiweze kutumika katika kuwatafutia kazi mabaharia Tanzania na nje ya nchi . amesema haya jijini Dar es salaam walipo tembelewa na mkuu wa wilaya ya Ilala mama SOFIA MJEMA
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
SERIKALI YATAKIWA KUWATENGENEZEA MAZINGIRA MABAHARIA
Kiongozi wa Meli kutoka jumuia ya mabaharia Tanzania ameiomba serikali iwatengenezee mazingira wezeshi ya wao kupata ajira .Lengo waweze kujinusulu na wimbi la umasikini
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
MKUU WA WILAYA YA ILALA KUWAKOMBOA MABAHARIA
Mkuu wa wilaya ya Ilala mama SOFIA MJEMA ameuwaakikishia uongozi wa jumuiya ya mabaharia nchini Tanzania anawatambua na atawasaidia kupata ajira mabaharia wote . pia ametoa wito kwa mabaharia wote wakajiendeleze kielimu ili waendane na soko la sasa
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
HAPPY MAIKO AMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI
Mwanafunzi aliye itimu chuo cha THE TANZANIA INSTITUTE OF BANKERS [TIOB] amesema elimu alioipata ataitumia vizuri ili nchi ya Tanzania iweze kufanikiwa katika kuelekea uchumi wa kati . ametoa wito kwa wasichana wasikate tamaa ya masomo
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
MKURUGENZI WA CHUO CHA THE TANZANIA INSTITUTE BANKERS [ TIOB] AJA NA MBINU YA KIPEKEE
Mkurugenzi mtendaji PETER wa chuo cha THE TANZANIA INSTITUTE BANKERS [TIOB] amesema wapo mbioni kuanzisha mfumo wa wanafunzi wao kusoma kwa kupitia mitandaoni . Lengo kuwapa nafasi wanafunzi ambao wapo makazini kwani wanafunzi wengi wanashindwa kusoma kwa kukosa muda
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
WAITIMU WA CHUO CHA THE TANZANIA INSTITUTE OF BANKERS[TIOB] WATAKIWA KUWA WAZARENDO
Mmoja ya viongozi mama TUSE amewataka waitimu wa THE TANZANIA INSTITUTE BANKERS [ TIOB] wakawe wazarendo katika utendaji wao wa kazi .Pia wafanye kazi kwa uhadirifu
habari pich na ALLY THABITI
habari pich na ALLY THABITI
GAVANA WA BENKI KUU YA TANZANIA AFUNGUWA MILANGO
Gavana wa benki kuu ya Tanzania [BOT] BEENO NDULU amewataka waitimu wa chuo cha THE TANZANIA INSTITUTE OF BANKERS [TIOB] wasisite kwenda kuomba kazi kwake na kwenye mabenki mengine . amesema haya kwenye maafari ya wanafunzi hawa Kilimanjaro hotel jijini Dar es salaam eneo la posta
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
WANAFUNZI WA THE TANZANIA INSTITUTE OF BANKERS[TIOB] WAKIWA KWENYE MAANDAMANO
Pichani Gavana wa benki kuu Tanzania [BOT] akiongoza maandamano ya waitimu wa chuo cha THE TANZANIA INSTITUTE OF BANKERS [TIOB]
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
Tuesday, 26 September 2017
WATU WENYE ULEMAVU AWAPASWI KUTENGWA
Mmoja ya viongozi kutoka chuo cha Sekomu ameitaka jamii ya kitanzania na isio ya kitanzania kutowatenga ,kuwanyanyapaa na kutowabaguwa watu wenye ulemavu na badala yake wawe karibu nao na wawape elimu kwa kuwapeleka mashuleni. wao chuo cha Sekomu wannatoa mafunzo ya aina mbalimbali asa kwa walimu jinsi ya kuwafundisha na kuwaudumia watu wenye ulemavu wa aina zote .chuo hiki kipo mkoani Tanga na kinnatoa mafunzo ya nukta nundu ni maandishi ya watu wenye ulemavu wa kutokuona wanayatumia katika kuandika na kusoma
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
WAZAZI WATAKIWA KUTUMIA MAWAKALA WAZURI WA VYUO
Kiongozi wa Universities Scholaship amewataka wazazi na walezi wakitaka kuwapeleka watoto wao kusoma nje ya nchi wawatumie wao kwani gharama zao ni nafuu na watawapeleka kwenye zenye usalama zaidi na watapata elimu mzuri
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
CHUO CHA MOROGORO CHAJIVUNIA ELIMU BORA
NGAJA MUSA amesema chuo chao cha Morogoro kinatoa elimu bora na gharama nafuu. ivyo amewataka wazazi na walezi wawapeleke vijana wao kwenye chuo chao kwa elimu yenye tija na bora zaidi
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
WAZANZIBAR WATAKIWA KUACHANA NA MILA NA DESTURI POTOFU
Mmoja ya viongozi wa chuo cha Zanzibar amewataka wazanzibar waache kuwaozesha watoto wao wakiwa na umri mdogo kwani wanawakatishia masomo. lengo la kuamasisha waweze kukitumia chuo chao kwaajili ya kupata elimu bora
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
URASIMISHAJI WA ARDHI KUONDOA MIGOGORO YA ARDHI
Kamishna wa ardhi MERY GASPA MAKONDO amesema wameamua kurasimisha ardhi Lengo kuondoa migogoro ya ardhi iliopo nchini Tanzania. na kuwafanya watanzania waondokane na ujenzi olela wa nyumba zao Mpaka sasa wameweza kurasimisha ardhi manspaha ya ILEMELA jijini Mwanza,Kinondoni na Ubungo jijini Dar es salaam. amesema haya kwenye mkutano uliofanyika hotel ya Kilimanjaro posta
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
WATANZANIA WATAKIWA KUJENGA MAENEO SI HATARISHI
Katibu tawara msaidizi anaeusika na maswala ya miundombinu kwenye ofisi ya mkuu wa mkoa Dar es salaam MAIKO OLE MUNGAYA amewataka watanzania wasijenge maeneo ambayo sio hatarishi ili wasiweze kupata madhara mbalimbali . ususani vifo vitokanavyo na mafuriko kwa kujenga kandokando ya mito, maziwa,mabwawa, baharini na mabondeni na sehemu za majangwa
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
WATANZANIA WATAKIWA KUTIMIZA KANUNI YA AFYA YA MAZINGIRA
STIVINI KIBERITI amesema ni vyema watanzania wote waweze kutumia kikamilifu kanuni za Afya ya mazingira ili Afya zao zipate kuimarika .wakifanya ivi wataondokana na maradhi ya Moyo na magonjwa ya milipuko ametoa rai kwa watanzania waachane na matumizi mabaya ya uvutaji wa Tumbaku kiolela. amesema haya kwenye viwanja vya Mnazi mmoja wilaya ya Ilala jijini Dar es salaam kwenye siku ya Afya ya mazingira Duniani
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
WILAYA YA ILALA YAJA NA MIKAKATI KABAMBE
Afsa tawara kutoka ofisi ya mkuu wa wilaya ya Ilala JABRI OMARI MAKAME amesema wameamuwa kuja na mikakati ya kudhibiti uchafuzi wa hewa kwa kutenga eneo la kuvutia sigara lililopo viwanja vya Mnazi mmoja .pia wanatoa elimu kwa jamii jinsi gani ya kutunza mazingira .amesema haya kwenye uzinduzi wa siku ya Afya ya mazingia ambako kauli mbiu inasema dhibiti uchafuzi wa hewa kwa Afya ya jamii
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
RAIS WA TFF APOKEA DONGE NONO LA FEDHA
Rais wa TFF WALLACE KARIA akipokea cheki yenye thamani ya shilingi milioni 325000000 kutoka benki ya KCB .nae mkurugenzi mtendaji wa benki ya KCB COSMAS KIMARIO akikabidhi cheki
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
PICHANI MAKABIDHIANO YA MKATABA
Mkurugenzi mtendaji wa benki ya KCB COSMAS KIMARIO akimkabidhi mkataba wa mwaka mmoja wa udhamini wenza wa Ligi kuu soka Tanzania bara wenye thamani ya shilingi milioni 325000000 .rais wa shilikisho la mpira wa miguu WALLACE KARIA akipokea mkataba huu kwenye hotel ya Serena jijini Dar es salaam
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
RAIS WA TFF AWATOA MCHECHETO WADHAMINI
Rais wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania [TFF] WALLACE KARIA amewataka wadhamini mbalimbali wajitokeze kwa wingi kuidhamini na kufadhili mchezo wa mpira wa miguu hapa Tanzania. Lengo kuinua na kukuza vipaji kwa vijana wanaocheza mpira wa miguu nchini Tanzania na kuwaakikishia ajira ya kudumu na atimae itasaidia kukuwa kwa uchumi. Pia amewatoa ofu na mashaka pindi wakavyotoa fedha zao za ufadhiri na udhamini .amesema haya wakati wa kutilia saini na benki ya KCB kwenye hotel ya Serena jijini Dar es salaam
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
Monday, 25 September 2017
BENKI YA KCB YAIJAZA MAPESA TFF
Mkurugenzi mtendaji wa benki ya KCB COSMAS KIMARIO amesema wameamua kudhamini ligi kuu soka Tanzania bara kwa mwaka 2017/18 kwa kiasi cha shilingi milioni 325000000 .lengo kukuza mchezo wa mpira wa miguu hapa nchini Tanzania
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
Sunday, 24 September 2017
VIJANA WATAKIWA KUACHA TAMAA
SALUM amewataka vijana wa kitanzania kuachana na tamaa ya kwenda nje ya nchi kwa njia aramu kwani yeye amekumbana na maswaibu mengi baada ya kuzamia na kwenda nchini Ubirigiji. pia amewasii vijana wa kitanzania wasitumie madawa ya kulevya kwani nikishawishi kikubwa katika uvunjaji wa amani
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
WAKIMBIZI NI KIKWAZO
Mwakilishi mkazi wa shirika la uhamiaji duniani KASIM SUFI amesema swala la idadi kubwa ya wakimbizi imekuwa ni kikwazo kikubwa cha maendeleo katika nchi zinazowaifadhi wakimbizi. ivyo amezitaka nchi ambazo zinamapigano ya kivita ziache mala moja .pia amezitaka zilete amani na utulivu pamoja na kuzitaka zingine ziendeleze kulinda na kudumisha amani zao ikiwemo Tanzania . amesema wao shirika la uhamiaji duniani lipo katika wakati mgumu wa kuwaandikisha wakimbizi amesema haya kwenye viwanja vya mwembe yanga wilaya ya Temeke jijini Dar es salaam kwenye siku ya amani ambako uhazimishwa kila mwaka tareha 23mwezi9
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
JESHI LA POLISI TANZANIA LATANGAZA VITA KALI
Kamishna wa jeshi la polisi jamii MUSA ALLY MUSA amesema kwaniaba ya mkuu wa jeshi la polisi Tanzania kamanda SIRO watapambana kwa ali na mali mtu, kikundi cha watu au taasisi kitakacho subutu kuvuruga amani iliopo Tanzania watachukuliwa atua kali za kisheria .amesema haya kwenye nviwanja nya mwembeyanga wilaya ya Temeke jijini Dar es salaam kwenye siku ya maazimisho ya amani ambako uhazimishw kila mwaka tarehe 23/9
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
ULEMAVU SI KIKWAZO CHA MAENDELEO
BIBI MARIAM ameitaka jamii kuamini kuwa ulemavu sio kikwazo cha maendeleo ivyo vyema kuwatengenezea mazingira rafiki na wezeshi watu wenye ulemavu lengo wajikwamue kiuchumi
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA YAWAONYA VIKALI WANA HABARI
ABDALLAH NGARAWA kutoka mamlaka ya mawasiliano Tanzania [TCRA] amesema mwana habari yeyote ambae atatoa habari za uchochezi atachukuliwa hatuwa za kisheria .pia amewataka wanahabari waandike habari zao kwa staa.amewaasa wanahabari kutokubali kutumika katika kuvuluga amani nchini Tanzania amesema haya kwenye ukumbi wa mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam uliopo posta
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
WANAFUNZI WAPEWA MONGOZO
Makamu mkuu wa shule ya secondary sent JOSEPH amesema lengo la kuwakutanisha wanafunzi waliomaliza na wasasa wa shule ya sent JOSEPH ni kuwajengea umoja ambao utakuwa wakudumu na wenye tija na masrai mapana kwa wanafunzi, shule na Taifa kwa ujumla . kwani umoja wao utakuwa wa maendeleo
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
ERICK SHIGONGO ANENA KWA UCHUNGU YALIO MOYONI MWAKE
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
WATANZANIA WATAKIWA KUTOWAFICHA WATOTO WENYE ULEMAVU
ELIKA KISA amesema ni vyema jamii kutowaficha ,wabagua, kuwanyanyapaa na kuto watenga watu wenye ulemavu ivyo ni vyema kuwapeleka mashuleni na kuwapa fursa mbalimbali ili waondokane na utegemezi katika maisha yao
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
KAMPUNI YA BEACON FINANCIALS LTD YATANGAZA NEEMA
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
SHULE YA SECONDARY SENT JOSEPH YAPEWA TANO
Moja ya viongozi kutoka nje ambaye mgeni rasmi ameupongeza uongozi wa shule ya secondary sent JOSEPH kwa kuunda na kuwatengenezea umoja wanafunzi waliomaliza .kwani wanafunzi hawa watafaidika kiuchumi na kimaendeleo katika kutafutiana ajira
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
WANAFUNZI WA SENT JOSEPH WAFUNDWA
Moja ya wazazi wa shule ya sent JOSEPH MARIAM amewataka wanafunzi waliomaliza na waliopo sasa wawe na nidhamu ,uadilifu na umoja ndipo watakapofikia malengo yao .ametoa rai kwa wazazi na walezi wawapeleke watoto wao mashuleni. amesema haya siku ya kuwakutanisha wanafunzi wa sent JOSEPH kwaajili ya kuwajengea umoja wao kwenye viwanja vya KARIM JEE posta jijini Dar es salaam
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
SHULE YA SECONDARY SENT JOSEPH YAJA KIVINGINE
Sister TIODORA amesema wameamua kuwakutanisha wanafunzi waliomaliza shule sent Joseph lengo kuwatengenezea umoja wao ili waweze kusaidiana
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
TAASISI YA UONGOZI YAAIDI MAZITO
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
TANEA YAJA KIVINGINE
Mkurugenzi mtendaji wa TANEA AIZAKI WANGO amesma wamekuja na mikakati imara madhubuti katika kufanya tasmini ya miradi mikubwa lengo kuisaidia serikali kuelekea tanzania ya viwanda na uchumi wa kati . amesema haya kwenye ukumbi wa mwalimu Nyerere uliopo posta jijini Dar es salaam wakati wa kuzindua mpango mkakati wao wa TANEA
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
TUME YA KUDHITI UKIMWI YAITAKA SERIKALI KUTOA PESA KWA WAKATI
RICHADI S.NGIRWA mkurugenzi wa sera ,mipango na utafiti amesema ili kufikia malengo yakutokomeza Ukimwi Tanzania ni vyema serikali itoe fedha kwa wakati
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
IFIKAPO ELFU 2030 UKIMWI KUWA ISTORIA NCHINI TANZANIA
Kiongozi kutoka tume ya kudhibiti Ukimwi Tanzania amesema ifikapo mwaka 2030 Ukimwi ahutakuwepo na asilimia kubwa ya watanzania watakuwa wanatumia vidonge vya kupunguza makali ya virusi vya ukimwi . amesema haya jijini Dar es salaam kwenye makao makuu ya tume ya kudhibiti Ukimwi
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
Thursday, 21 September 2017
MIKOA VINARA KWA MAAMBUKIZI YA UKIMWI
Kaimu mkurugenzi mtendaji wa tume ya kudhibiti ukimwi Tanzania JUMANNE amesema mkoa wa Njombe ,Iringa na Mbeya ni mikoa inayoongoza kwa kiasi kikubwa katika maambukizi ya Ukimwi Tanzania . Ivyo amesema zinaitajika jitiada za makusudi katika kuondoa maambukizi ya Ukimwi kwa mikoa hii na mingine . lengo kuokoa vizazi vinavyokufa na ugonjwa wa Ukimwi. ameipongeza mikoa ya Tanga, Rindi na Mtwara kwa kuwa na kiwango kidogo sana cha maambukizi ya Ukimwi
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
Wednesday, 20 September 2017
SEKTA BINAUSI YATETA NA SERIKALI
Kiongozi wa sekta binausi JEMES SIMBEYI ameiambia seikali ikitaka kufanikiwa kuelekea Tanzania ya viwanda na uchumi wa kati ihakikishe inatengeneza miundombinu ya usafirishaji kwenye majiji ya Tanzania . Pia amesema shirika la Tazara likiboleshwa kikamilifu litasaidia kukuza uchumi wa Tanzania . ametoa wito kwa wadau wa sekta binausi kushiriki kwenye mikutano ya kimataifa lengo kuchangamkia fursa zinazojitokeza . amesema haya kwenye mkutano wa siku mbili ulio wajumuisha wadau wa mataifa mbalimbali Duniani jijini Dar es salaam KILIMANJARO hotel
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
WAZIRI WA UCHUKUZI AKILI KUWEPO KWA MATATIZO SEKTA YA ANGA
Waziri wa uchukuzi prof MAKAME MBARAWA amesema uhaba wa marubani, viwanja vya ndege na ndege ni kikwazo na tatizo kubwa katika sekta ya anga nchini Tanzania .ametoa rai kwa wadau na jamii kuungana na serikali katika kunusuru sekta ya anga .amesema haya kwenye ukumbi wa mwalimu NYERERE uliopo posta na kumpa maagizo moja ya viongozi wa TCAA
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
SERIKALI KUNUSURU TAFITI
Naibu waziri wa kazi ,ajira, vijana na watu wenye ulemavu ANTONI PITA MAVUNDE amesema serikali imejipanga kikamilifu katika kuziwezesha tafiti na wafanya tafiti kifedha lengo kuwa na tafiti zenye tija na zenye kutatua changamoto za watanzania .amesema haya kwenye chuo cha CBE
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
WAANDISI WAIPONGEZA SERIKALI YA TANZANIA
Mwenyekiti wa waandisi wa Reli ya Tanzania na Zambia [TAZARA] amesema kwaniaba ya waandisi wenzake wanaipongeza serikali ya Tanzania chini ya rais MAGUFULI kwa ujenzi wa reli ya kisasa kwani ukikamilika utatatua matatizo ya usafirishaji mizigo na abilia kupitia reli
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
PICHANI MENEJA WA NMB RICHADI MAKUNGWA AKIKABIDHI CHEKI
Meneja wa NMB RICHADI MAKUNGWA amewakabidhi viongozi wa tawara za mitaa Tanzania [ALAT] cheki ya shilingi milioni 100 kwenye ofisi za ALAT jijini Dar es salaam .kwaajili ya kuwezesha mkutano mkuu wa ALAT jijini MBEYA ambao utafanyika tarehe 2 na 5 mwezi wa 10 mwaka 2017
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
ALAT YAJA NA MWELEKEO MPYA
kaimu katibu mkuu wa ALAT wa Taifa amesema wameamua kuja na mwelekeo mpya ili kuendana na kasi ya rais MAGUFULI katika kulinda na kusimamia rasilimali za nchi .Pia ALAT inamuunga mkono rais MAGUFULI kwa kuamia Dodoma na amezitaka halmashauri zote apa nchini kutenga fedha kwaajili ya maendeleo ya nchi. kaimu katibu mkuu wa ALAT Taifa ABDALLAH NGODU amesema tarehe 6 ya mwezi wa 10 ya mwaka 2017 itakuwa nisiku pekee ya kujadili TARULA [Wakala wa barabara kwenye halmashauri nchini Tanzania]
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
ALAT YATOA MAAGIZO MAZITO KWA HALMASHAURI
Kaimu mwenyekiti wa ALAT Taifa STIVINI PITA amesema halmashauri zote nchini zitenge ardhi kwaajili ya viwanda vidogovidogo lengo kumuunga mkono rais MAGUFULI katika kuelekea Tanzania ya viwanda .Pia ardhi ni chachu ya maendeleo amesema haya jijini Dar es salaam wakati wa kutangaza kuwa tarehe2 na 5 mwaka2017 utafanyika mkutano mkuu wa therathini 33 wa ALAT jijini MBEYA .ambako mgeni rasmi atakuwa rais MAGUFULI lingo la mkutano kuweka mikakati ya elfumbili 2017 na 2018 . Kauli mbiu ya mkutano huu Ardhi ni chachu ya maendeleo na halmashauri zitenge ardhi kwaajili ya viwanda vidogo vidogo .Kaimu mwenyekiti STIVINI PITA wa ALAT ameishukuru benki ya NMB kwa kuwapa cheki ya shilingi milioni 100
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
JUMUIA YA TAWARA ZA MITAA TANZANIA ALAT YAAIDIWA MAZITO
Meneja wa benki ya NMB RICHADI MAKUNGWA amesema watazidi kuisaidia jumuia ya tawara za mitaa Tanzania [ ALAT] . lengo iweze kutatua changamoto zinazo wakabili amesema haya kwenye ofisi za ALAT baada ya kuwakabidhi viongozi wa ALAT cheki ya shilingi milioni 100 kwaajili ya kuwezesha kufanyika kwa mkutano mkuu wa ALAT . tarehe 2 na 5 mwezi wa kumi mwaka 2017 jijini MBEYA. meneja wa NMB amesema watazidi kuifadhiri na kuidhamini ALAT
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
Tuesday, 19 September 2017
SEKTA YA RELI YAPATA MSUKUMO MPYA
MASANJA K. KADOGOSA ni mkurugenzi wa kampuni ya reli Tanzania amesema mkutano umeweza kusaidia sekta ya reli kupiga hatua kwani wadau wengi kutoka nje ya nchi wamesema wataisaidia sekta hii kupiga hatua
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
WAGENI WAIPONGEZA TANZANIA
Moja ya washiriki kwenye mkutano uliokutanisha wadau mbalimbali wa ujenzi wa reli na barabara aipongoza serikali ya Tanzania kwa kuboresha na kuimarisha miundombinu ya reli na barabara kwa kiwango cha kimataifa
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
Subscribe to:
Posts (Atom)