Wednesday, 29 July 2020

PICHANI NI ZAO LA MNAZI

Licha ya Mkulima Njomoke kujisughurisha na zao la Korosho pia anajishughurisha na zao la Nazi

Habari picha na Victoria Stanslaus

PICHANI FAIDA ZA MKULIMA NJOMOKE

Njomoke no Mkulima wa Korosho awa Ng'ombe no faida aliopata kutoka na zao la koKoros

Habari picha na Victoria Stanslaus

MKULIMA WA KOROSHO ATOA USHAULI MZITO

Sudi Mkulima wa Korosho kata ya Lukanga amewataka wakulima nçhini Tanzania kufuatilia kanuni za kilimo ili wapate uzarishaji wenye tija kwenye mazao Yao amempongeza Mkulima wa Korosho Njomoke Kwa kuzingatia na kufuata kanuni na taratibu za zao la Korosho .ametoa wito Kwa serikali kutoa dawa Aina ya Lava Kwa wingi na Kwa haraka iwezeshe upatikanaji wa Salfa ya Maji na watengeneze miundombinu yakuelekea mashambani

Habari picha na Victoria Stanslaus

MPULIZIA MIKOROSHO ATOA NENO KWA SERIKALI

Joji ni Mtaalam wa Kupulizia Mikorosho kutoka kata ya Lukanga ameitaka serikali kuwawezesha wapulizia Mikorosho Kwa kuwapa elimu

Habari picha na Victoria Stanslaus

CHAMA CHA WAKUNGA NA TIBA ASILI CHAMLILIA MZEE MKAPA

Katibu Mkuu wa Chama cha Wakunga na Tiba Asili (CHAWATIATA) Mittam amesema kuanzia mwaka 2000 hayati rais Benjamin William Mkapa alitaka waganga wa Asili kazi zao zitambulike kisheria ilipofika mwaka 2001 Bunge likaanza kujadili maswala ya Waganga na Tiba zao za Asili nailipofika tarehe 31 mwezi12 mwaka 2002 rais Mkapa alisaini mswada wa kutamburika kazi za Waganga wa jadi na mwaka 2005 Wizara ya Afya ikaunda Baraza  la Usajmaswala ya Tiba Asili  ndio maana CHAWATIATA kimepokea msiba huu Kwa majonzi na masikitiko makubwa. Katibu ameaidi kutekeleza Kwa Vitendo yale yote alio yaacha rais Mkapa


Habari picha na Ally Thabit

Tuesday, 28 July 2020

MTIA NIA YA UDIWANI AFUNGUKA

Mtia Nia Udiwani kwa chama cha CCM kata Kijichi  Bazili amesema amewshukuru tume ya Uchaguzi Kwa kuweza kupiga Kura Kwa uwazi na haki na kwautulivu .pia atakuwa tayali kushirikiana na Mgombea atakaye peperusha bendera ya CCM Udiwani Kijichi na ameaidi kushirikiana na Chama CCM


Habari picha na Ally Thabit

MKULIMA ATOA NENO KWA NJOMOKE

Mariam Mwanakijiji wa  Lukanga  amesema kitendo cha Njomoke kuwapa ajira kwenye shamba lake ameweza kuwasaidia wanakikubali wa app kwani wanaotaka pesa za kujikimu na kujikwamua kimaisha  ambako apo mwanzo walikosa kupata huduma za kijamii  Kwa Kutokuwa na pesa .ametoa wito Kwa serikali kuweza kumuwezesha Njomoke Kwa kumpa Nyenzo mbalimbali za kilimo napembejeo


Habari picha na Victoria Stanslaus

WAKULIMA WAMPONGEZA NJOMOKE

Bibi kutoka kijijini cha Lukanga amesema  anamshukuru Njomoke kwakuweza kuhudumia familia Yao Kwa kuendeleza kilimo hichi cha Korosho kwani pesa zinazopatikana kutoka a na Korosho zinawasaidia kujikimu kimaisha na kutatua matatizo mbalimbali

Habari picha na Victoria Stanslaus

MKULIMA WA KOROSHO AIFAGILIA SERIKALI

Hamisi Hassani Njomoke amempongeza rais Magufuli Kwa kuwajali na kuwathamini wakulima nçhini Tanzania amesema kupitia zao la Korosho kata ya Lukanga ameweza kupiga atua kubwa na kutoa ajira Kwa watu mbalimbali  Njomoke amemuomba serikali aweze kusaidiwa kupata Mashine za kubangua Korosho na Dawa Aina ya Rava zipatikane Kwa wingi Tanzania pamoja na kupatikana Salfa ya maji hii itaongeza uzarishaji mkubwa wa Korosho na wenye tija na Kasi

Habari picha na Ally Thabit

MTIA NIA WA UDIWANI KIJICHI NAMBA 23 ATOA SALAMU KWA WAPINZANI

Sabasaba Salungi ni Mtia Nia Kwa ngazi ya Udiwani ndani ya CCM Kijichi amefurahishwa na kupendezwa na utekelezaji wa vitendendo wa Irani ya Chama cha Mapinduzi CCM na rais Magufuli amewataka wapinzani kujiandaa kisaikolojia ifikapo waka tarehe 28 Mwezi 10 mwaka huu 2020 kwani CCM itapata ushindi wa kishindo na mafuriko kwani watanzania wanakikubali Chama hiki na kujiunga mkono .pia amefurahishwa na usimamizi mzuri uliokuwa wa uhuru na haki kwenye Uchaguzi wa CCM kata ya Kijichi ngazi ya Udiwani

Habari picha na Ally Thabiti

HASUMANI NYAMRANI AIPA TANO TUME YA UCHAGUZI

Hasumani Nyamrani ni Mtia nia ndani ya CCM kata ya Kijichi Kwa ngazi ya  Udiwani ambapo amepata Kura 38 Kati ya 173 zilizopigwa .amekishukuru tume ya uchaUcha CCM kwenye kata ya Kijichi Kwa Kuendesha na kusimamia uchaUcha wa Uhuru na Haki usiokuwa na mizengwe wala makandokando ameaidi kumuunga mkono mjombea yeyote atakaye state pewa nafasi ya kupeperusha bendera ya CCM kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika tarehe 28 Mwezi 10 mwaka huu 2020


Habari picha na Ally Thabiti

MWENYEKITI WA CUF KUCHUANA VIKALI NA MAGUFULI

Mwenyekiti wa Chama cha CUF Hiblaim Lipumba amesema Lengo la kupeperusha bendera ya CUF tarehe 28 mwezi wa 10 mwaka 2020 Kwa ngazi ya urais no kuiondoa madarakani CCM endapo akiwataka rais wa Tanzania atasimamia sekta ya Afya,Elimu,kilimo,Viwanda ,miundombinu na kuwezesha kukuwa Kwa Uchumi wa Tanzania Kwa Kasi kubwa

Habari picha na Victoria Stanslaus

MUSA HAJI KOMBO KUMPA KIBANO CHA MBWA KOKO MAALIM SEFU

Musa Haji Kombo amewshukuru na kuwapongeza wajumbe wa mkutano mkuu Kwa kuweza kumchagua kuwa Makamu mwenyekiti Visiwani Zanzibar  na Kwa kumchagua kupeperusha bendera ya Chama cha CUF Kwa nafasi ya Urais Visiwani Zanzibar ifikapo tarehe 28 Mwezi 10 mwaka huu 2020 ameaidi atamsambaratisha na kumgaragaza Maalim Sefu kwenye Uchaguzi mkuu


Habari picha na Victoria Stanslaus

CUF YAZINGATIA USAWA WA KIJINSIA

Bi Hamida amekishukuru Chama cha  CUF Kwa kumchagua kuwa Mgombea mwenza wa kupeperusha bendera ya Chama hiki kwenye Uchaguzi mkuu wa tarehe 28 Mwezi 10 mwaka 2020 Tanzania bara

Habari picha na  Victoria Stanslaus

Tuesday, 21 July 2020

NANDI AFICHUA SIRI YA KAMPUNI YA DARLING

Msanii wa Kizazi Kipya Nandi amesema chanzo cha Kampuni ya DARLING Kuendeleza Mkataba Kati yake na Kampuni hii baada ya Kutangaza Vizuri na Vema Bidhaa zao za Rasta Aina ya SOFT TOUCH,ROSHENI na PASSION TWIST Nandi amesema kujieshimu kwake ndiko kumemfanya apate  furusa amewataka wasanii hapa nchini wajieshimu ili waweze kupata furusa za kuwa mabarozi ambako itawasaidia kupata kipato na kujikimu kiuchumi ametoa Rai Kwa watu wote waweze kutumia Bidhaa za Kampuni ya DARLING kwani zinauzwa bei  nafuu amesema haya kwenye hotel ya SERENA jijini DSM


Habari picha na Victoria Stanslaus

KAMPUNI YA DARLING YAMPA SHAVU NANDI

Meneja Masoko wa Kampuni ya DARLING Maria Kasanga  amesema leo hii wamuwa kuingia mkataba mwingine  na msanii wa Bongo freva Nandi  .Lengo kutangaza Bidhaa za rasta Aina ya Crochet na Weaving amesema baada ya Nandi mwanzoni kuwa barozi wao Bidhaa zao zimekubalika na kununua Kwa kiwango kikubwa  pia amewshukuru wateja wao na mashabiki wa Nandi Kwa kuwaunga mkono ametoa wito watu waendelee kununua Bidhaa zao na wamfuatilie Nandi kwenye Mitandao ya Kijamii amesema haya SERENA Hotel jijini DSM



Habari picha na Ally Thabit

Thursday, 16 July 2020

MENEJA MASOKO WA SPEEDY PRINT LIMITED ATOA NENO KWA SIDO

Kaimu Muhene amewapongeza SIDO Kwa kuwawezesha kutangaziwa Bidhaa zao kwenye maonyesho ya 44 ndani ya Viwanja vya sabasaba kupitia SIDO wameweza kuongeza wigopana wa kupata Masoko makubwa na ya uhakika .Meneja Masoko Kasimu Muhene amewataka watu wote wanunuzi Bidhaa zao za Sabuni pamoja na Vitakasa Mikono kwaajili ya kuimarisha Afya zao pamoja na Ngozi zao


Habari picha na Ally Thabit

CONZELA BUSEJA AWATAADHARISHA WATU KUTUMIA BIDHAA ZAO

Afsa Masoko wa Kampuni ya MHABHE INVESTMENT Conzela Busega amewataka watanzania na wasiowatanzania watumishi Bidhaa zao za Sabuni pamoja na Vitakasa Mikono kwani zina ubora unaokubarika na mtu akiitaji Bidhaa zao wanamfikia Kwa Uraisi na haraka amesema haya kwenye maonyesho 44 ndani ya Viwanja vya sabasaba jijini DSM


Habari picha na Victoria Stanslaus

MTIA NIA WA UBUNGE WA CCM KUPITIA JIMBO LA KIBAMBA AAIDI MAZITO

Mwana mama wa Chama cha Mapinduzi Ccm amesema amemuomba Chama cha mapinduzi Jimbo la Kibamba waweze kumpa nafasi ya Ubunge ili aweze kutatua matatizo yanayowakabili wa Kibamba kuanzia sekta ya Afya,Elimu,Maji na Miundombinu


Habari picha na Ally Thabit

CCM ILALA WATIA NIA WA UBUNGE NI MAFURIKO

Katibu wa Ccm wa Wilaya ya Ilala Idi Mkoa amesema Jimbo la Ukonga wanachama wa CCM waliochukua fomu ya kutia nia nafasi ya Ubunge 114 Jimbo la segerea 73 na Ilala 21na kufikia Idadi ya watia nia 208 hii inatolewa na utendaji mzuri wa kazi wa rais Magufuli amewataka wapidhani kuwa mwaka huu kwenye Uchaguzi mwaka huu 2020 Awana nafasi ya Uongozi amesema haya Makao Makuu ya Ccm Wilaya Jijini DSM


Habari picha na Victoria Stanslaus

KAMPUNI YA TIBA ASILI KUNUSULU MAISHA YA WATU


Dr Sarah Nassor Director wa Kampuni ya Holistic Point amewataka watu kutumia Dawa zao za Asili ili waweze kupona wanapatikana Temeke hizi ndizo huduma wanazozitoa Cupping therapy/kuumika,Massage therapy/Tiba ya kuchukua,Visomo vya Ruqya,Reflexology/Tiba ya kubonyeza naHerbs/ Dawa za Asili . amesema haya kwenye maonyesho 44 ndani ya Viwanja vya sabasaba jijini DSM

Habari picha na Ally Thabit

HADIJA FARAJI AWASHA MOTO KIBAMBA

Mkuu wa Mafunzo ya Taaluma Ccm Makao Makuu Hadija Faraji amesema ameamuwa kuchukua fomu kwenye Jimbo la Kibamba Kwa nafasi ya Ubunge Lengo amsaidie rais Magufuli katika kutekeleza Irani ya Chama cha Mapinduzi CCM . Moja ya mikakati yake akipewa ridhaa ya kuwa Mbunge ndani ya Chama cha CCM atawezesha upatikanaji WA maji,ujenzi wa madarasa pamoja na Afya mewataadharisha wapinzani wastarajie kupata nafasi ya Ubunge ndani ya Jimbo la Kibamba Kwa CCM imejipanga kikamilifu amewatoa ofu Wana CCM na watanzania kuwa yeye anatosha kuwa Mbunge ndani Jimbo la Kibamba kwakuwa anauzoefu na Uongozi kuanzia ngazi ya Shina mpaka Taifa


Habari picha na Ally Thabit

MTIA NIA NAFASI YA UBUNGE WILIAM AWATAADHARISHA WAPINZANI

Ndugu Wiliam Amechukua Fomu Kuwania nafasi ya Ubunge kwenye Jimbo la Ubunge kupitia Chama Mapinduzi CCM amehaidi kuwa endapo CCM itampa ridhaa kwenye Uchaguzi mkuu wa 2020 Mwezi wa 10 atashinda Kwa kishindo amewataka Wana Ubunge wasikichague Chama cha Chadema na vyama vingine vya Upinzani kwani Hanna Maendeleo walioleta sasa wamchague CCM . Amesema kwataaluma yake ya Uhandisi akichaguliwa kuwa Mbunge atasaidia Kwa kiwango kikubwa kama yeye alivyomsaidia rais Magufuli kwenye maeneo mbalimbali hapa nchini kupitia Uhandisi wake Kati ya vitu akavyofanya  Ujenzi wa Hospitali,upatikaji wa maji na ujenzi wa madarasa

Habari picha na Ally Thabit

ALLY THABITI AINGIA KWENYE KINYANG'ANYILO CHA UCHAGUZI

Ally Thabiti no Kijana Mwenye Ulemavu wa Kutokiona ameamuwa kuchukua fomu kupitia Chama cha Mapinduzi CCM kwaajili ya kugombea Udiwani katika kata ya Kijichi Wilaya ya Temeke Jimbo la Mbagala Mkoa wa Dsm .amesema Lengo lake kwenda kusimamia asilimia 2 ya fedha kwenye Halmashauri zitengwe na wapewe watu wenye Ulemavu na kusimamia bajeti yenye Malengo wa wa kijinsia katika Halmashauri na ujenzi wa mabweni kwaajili ya wanafunzi wa kike pamoja na kusimamia makundi mengineyo Ally Thabiti amehaidi akipewa nafasi ya kuwa Diwani atasimamia na kutekeleza Kwa Vitendo maswala ya kupinga rushwa,ufisadi,ubadhirifu na kuamasisha watu waliojiajili kujiunga na Mifuko ya Hifadhi ya Jamii hasa NSSF .Pia amempongeza rais Magufuli Kwa utendaji wake wa kazi ulio tukuka na Asasi za kiraia ikiwemo TGNP MTANDAO,THRDC na zinginezo Kwa kutoa Elimu

Habari picha na Victoria Stanslaus

Wednesday, 15 July 2020

TAASISI YA MOI YAJA KIVINGINE

Mkuu wa Kitengo cha Idara ya Viungo  Visaidizi ndugu Mwakasungura amesema Wana MIPANGO ya kuraisisha upatikaji wa vifaa saidizi vya Binadamu Kwa gharama nafuu amesema haya kwenye maonyesho 44 ndani ya Viwanja vya sabasaba jijini DSM


Habari picha na Ally Thabit

YUDA AMELETA MUAROBAINI WA WIZI WA MADINI

Yuda kutoka Mkoa wa Geita amebuni Mtambo wa Kuchakata Madini Lengo kudhibiti wizi wanaofanyiwa Wachimbaji wa Madini wanavyopeleka nje ya nchi .Pia CP ameamuwa kufanya giving Kwa kumuunga mkono rais Magufuli hili sekta ya Madini ikuwe Kwa Kasi na haraka mno naiweze kuchangia Uchumi wa Tanzania kama matarajio ya rais Magufuli amesema haya kwenye maonyesho 44 ndani ya Viwanja vya sabasaba jijini DSM

Habari picha na Ally Thabit

MFUKO WA HIFADHI YA JAMII NSSF YAENDANA NA KASI YA RAIS MAGUFULI

Meneja Uhusiano na Elimu Kwa Umma NSSF Lulu Mengele amesema wameanzisha Mifumo ya Kidigitali katika kutoa huduma ,wameanzisha dawati la malalamiko na majibu tanatolewa Kwa wakati na usiri mkubwa .Pia mtu anaweza kuweka mchango wake wa Pesa Kwa kutumia Simu ya mkononi wamefanya ivi Lengo kuondoa Usumbufu na kuokoa muda na gharama za wateja wao kufika kwenye Ofisi zao Lulu Mengele amesema baada ya mabadiliko ya Sheria ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii NSSF inawasajili watu ambao wamejiajili wenyewe na walioajiliwa juhudi hizi zote zinaendana na Kasi ya rais Magufuli Kuelekea Tanzania ya Viwanda ili baada ya mtu kuzeeka aweze kupata mafao yake ya Uzeeni na kuondokana kuwa tegemezi na kuomba omba .Ametoa wito Kwa Mama
Lishe ,Baba Lishe,Wakulima,Wafugaji,Watu wenye Ulemavu,Wavuvi ,Wajasilia Mali na Makundi mengine  wajiunge na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii NSSF ili Mafao yenye tija na mazuri wakati wa Uzeeni yasiyokuwa na Usumbufu wala Ubabaishaji na Pia amewatoa Ofu wanachama wao na wanaotaka kujiunga Usalama wa Pesa zao ni mkubwa na Pesa wanaweza kuweka kidogo kidogo na wataunganishwa na furusa mbalimbali na Kila Mwezi Kasi ya NSSF inaongezeka Lulu Mengele amesema haya kwenye maonyesho 44 ndani ya Viwanja vya sabasaba jijini DSM


Habari picha na Ally Thabit

MWANAMAMA AJITOSA KUGOMBEA URAISI KUPITIA ALLIANCE FOR DEMOCRATIC CHANGE(ADC)

            Mh, Doyo hassani Doyo( Kulia)
       Katibu mkuu wa chama cha ADC
Wakati wa uchukuaji fomu kuteuliwa kugombea uraisi wa chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) Mwamama Mh Queen Cuthbert sendiga amejitokeza kuchukua fomu hiyo ili kupeperusha Bendera ya chama hicho katika kinyang'anyiro cha uraisi kwenye uchaguzi unaotarajiwa kufanyika October mwaka huu
Katibu Mh Doyo akieleze mikakati yao mikuu amesema, kwanza kabisa watasimamisha wagombea ubunge majimbo 100  ili walau waweze kuchukua majimbo 20 au 15 katika uchaguzi ujao
Amesisitiza kuwa chama chao kitajikita zaidi vijijini ili kutafta kura mpya ambazo si za chama chochote. Akifafanua kwa kurejea takwimu za uchaguzi uliopita amesema kura milioni 8 zilienda CCM na kura miliono 6 zilienda CHADEMA hivyo wao watatafuta kura milioni 9 ambazo ziliachwa na vyama vingine vyote
Mgombea uraisi Mh Queen Cuthbert pia amekili kuwa Mh JP Magufuri amefanya mengi mazuri ingawa si vyakutosha. Ataenda kuhakikisha
 -Vijana wanapata ajira vyakutosha ili waweze kujikwamua katika umasikini
 -Uchumi wa mtu mmoja mmoja
 - kuinua kilimo ili kupata bidhaa nyingi sokoni na viwandani
 -Kujenga madarasa ya kutosha ili kukuza elimu na kufuta kabisa ujinga
Mgombea uraisi ADC mama Queen Cuthbert Sendiga
HABARI PICHA NA ALLY THABITI

Sunday, 12 July 2020

FUNDI WA NGUO ASIYE ONA AWAKWAMUWA WENYE ULEMAVU KIUCHUMI

Dr Habdalah Nyangalio ni fundi  wa kushona nguo asiye ona ameamua kuwafundisha bure watu wenye ulemavu wa Aina zote .Lengo wajikwamuwe kiuchumi na easier tegemezi Kwa jamii mpaka sasa hapa Tanzania amewafundisha ushonaji wasio Ona ,wenye uharibino,na wenye ulemavu wa viungo anapatikana ndani ya Viwanja vya sabasaba Temeke jijini DSM

Habari picha na Ally Thabit

SIDO YA WAANDAA MABILIONEA WA KITANZANIA

Meneja Mafunzo wa Makao Makuu SIDO Stephin Bondo amesema Lengo la kutoa mafunzo ni kuwaandaa na kuwatengeneza mabilionea wa kitanzania Kwa kuwajengea uwezo wa namna ya kutengeneza Bidhaa zao Kwa ubora na ufanisi mkubwa . Pia SIDO inatoa mafunzo Kwa watu ambao wanaenda kuwafikisha watu wengine Meneja wa  SIDO amesema watu wenye ulemavu wamewafikia Kwa kiwango kikubwa Kwa kuwapa mafunzo ya ujasiliamali  amesema haya kwenye maonyesho 44 ndani ya Viwanja vya sabasaba jijini DSM

Habari picha na Ally Thabit

SIDO YAFUNGUA MILANGO KWA WATANZANIA

Meneja wa SIDO Macdonald Maganga amewataka watanzania kujiunga na SIDO kwani watapata faida kubwa zikiwemo kupata mikopo, kutangaziwa Kwa Bidhaa zao,kutafutiwa Masoko na elimu na mafunzo ya mana ya kutengeneza Bidhaa zenye ubora na zinazokubarika .amewataka ofu na mashaka wajasilia Mali wanaitaji huduma za SIDO kwani gharama zao no nafuu amesema haya kwenye maonyesho 44 ndani ya Viwanja vya sabasaba jijini DSM

Habari picha na Ally Thabit

SIDO KUINUA SEKTA YA ELIMU

Wilisoni Mabara ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya MITZ KITS wamewashukuru SIDO Kwa kuwaunga mkono na kusimamia program Yao  ya mahabara ya Sayansi Lengo Lao ni kuwaandaa na kuzarisha wanasayansi wengi Jambo ili SIDO wanasaidia kupatikana kwa Wataalam watakao simamia na kuendesha Viwanda vya Tanzania amesema haya ndani ya Viwanja vya sabasaba

Habari picha na Ally Thabit

SIDO YAWASHIKA MKONO WABUNIFU

Human Waziri ni Mkurugenzi wa Kampuni ya IKHLAS INVESTMENT LIMITED ambayo inatengeneza Mashine za kutotoresha vifaranga vya Kuku amewshukuru SIDO Kwa kuwajengea uwezo wa kutangaza Mashine zao na kuwafutia soko amewataka watanzania wanunuzi Mashine zao kwani n Imara, zina ubora unaokubarika na wanauza Kwa bei nafuu amesema haya kwenye maonyesho 44 ndani ya Viwanja vya sabasaba

Habari picha na Ally Thabit

CHUO CHA VETA MOROGORO (M.V.TTC) CHAUNGA JUHUDI ZA SERIKALI YA MAGUFULI KUELEKEA TANZANIA YA VIWANDA

 Mwandisi Enelisa Andengulile wa Chuo cha Uwalimu VETA Morogoro amesema chuo chao kinafundisha Walimu ambao wanaoenda kufundisha kwenye vyuo vya VETA Tanzania amewataka watanzania kujiunga na Chuo cha Uwalimu VETA Morogoro (MVTTC) ili wakafundishe kwenye vyuo vya VETA vya Mikoa na wilaya amesema haya kwenye maonyesho 44 ndani ya  vya sabasaba

Habari picha na Ally Thabit

Saturday, 11 July 2020

UONGOZI MPYA WA CHUO KIKUU UDOM CHAJA NA MIKAKATI MIPYA

Mkurugenzi wa Idara ya Utafiti Dokta Amburose  Kessy wa Chuo Kikuu cha Dodoma amesema Tafiti zao wanazofanya zina Lengo la kutatua matatizo ya kijamii. Mwaka huu chuo Kikuu Dodoma kupitia Kwa wanafunzi na Walimu kimeweza kubuni baadhi ya Tafiti kwenye maeneo ya Afya, kilimo na Viwanda . Amesema uongozi wa sasa Chini ya Malam   Mkuu wa Chuo prof Faustine Bee  umeweza kuleta mageuzi makubwa katika Chuo Kikuu cha Dodoma .uongozi mpya umelenga kuboresha program zote za digrii ya Kwanza Hadi tatu Kwa kuzingatia ubora wa kufundisha kufanya Tafiti na kutoa huduma Kwa jamii Dr Kessy amesema haya kwenye maonyesho ya 44 kimataifa ndani ya Viwanja vya sabasaba jijini DSM

Habari picha na Ally Thabit

Friday, 10 July 2020

CHUO KIKUU CHA MIPANGO ZATOA SIRI NZITO

Pichani Muhadhiiri Msaidizi Nikolaus Ngowi wa Chuo Kikuu cha MIPANGO akitoa maelezo Kwa mgeni rasimi Afsa Mtendaji Mkuu wa PPRA ndugu Reonadi nae Afsa huyu akiwapongeza Chuo Kikuu cha MIPANGO Kwa kumuunga mkono rais Magufuli Kwa Vitendo katika Kuelekea Tanzania ya Viwanda kwakuwajengea uwezo na kuwapa mbinu wakulima wa Vitunguu thaumu jijini Mwanza Kwa Kilima Kisasa na kuwa na Kiwanda cha Ngozi . Pia amewapongeza Kwa kufuatilia kanuni,taratibu na Sheria za mannunuzi baada ya kutembelewa kwenye Banda Lao kwenye maonyesho 44 ndani ya Viwanja vya sabasaba jijini DSM


Habari picha na Victoria Stanslaus

CHUO KIKUU CHA MIPANGO CHATEKELEZA KWA VITENDO HADHIMA YA RAIS MAGUFULI KUELEKEA TANZANIA YA VIWANDA

Muhadhiiri Msaidizi  Nikolaus Ngowi wa Chuo cha MIPANGO amesema wamewawezesha wakulima wa Vitunguu thaumu jijini Mwanza Kwa kuwajea uwezo wa kukuza thamani na kuwafungia Soko la uhakika na bei nzuri ya kuuza Vitunguu thaumu.  Na Wakulima wamefanya Kwa Uchumi wao wa kipato kukua ukilinganisha na hapa mwanzo.  Muhadhiiri amesema wakulima wa Vitunguu thaumu jijini Mwanza wamepewa elimu,mafunzo na mbinu za ulimaji wa Kisasa Kwa njia ya Umwagiliaji wa kisasa na  matumizi ya mborea bora . Pia Wana Kiwania cha kukuza thamani ya Ngozi jijini Dodoma na kupelekea Soko la Ngozi kimekuja kubwa na thamani yake kuongeza . ametoa wito Kwa watu wote kukitumia chuo cha MIPANGO kwani kinafundisha viongozi wenye Uweredi,Uadilifu na wasio penda rushwa ndio maana viongozi hawa wamemsaidia rais Magufuli kufika Uchumi wa Kati kabla ya mwaka2025 na kufanya adhima ya Tanzania ya Viwanda kutekeleza Kwa Vitendo . Chuo Kikuu cha MIPANGO kimeaidi kufanya Tafiti zenye tija, kununua na kusimamia miradi mbalimbali na kuendelea kutoa viongozi Bora kwaajili ya kumsaidia rais Magufuli katika Kuelekea Tanzania ya Viwanda .amesema haya kwenye maonyesho 44 ndani ya Viwanja vya sabasaba jijini DSM


Habari picha na Victoria Stanslaus

CHUO KIKUU CHA UDOM CHAJA NA MUAROBAINI WA MASOMO YA HISABATI

Muhadhiri  wa Chuo Kikuu cha UDOM  Absalom amesema ameamua kufanya Utafiti na kuwawezesha wanafunzi wa kitanzania wapende kusoma masomo ya Hisabati Kwa kuwataka Walimu wa mashuleni watumishi rugha rafiki ya kufundisha somo la Hisabati na kuwapa mbinu ya kufundisha Kwa makundi . Baada ya kufuatilia wamebaini mbinu zao zimefanikiwa Kwa wanafunzi kupenda somo la Hisabati na wanafunzi wanafanya vizuri kwenye masomo Yao ya Hisabati ukilinganisha na miaka ya nyuma kabla ya kupewa mbinu na chuo Kikuu cha UDOM amesema haya kwenye maonyesho 44 ndani ya Viwanja vya sabasaba jijini DSM

Habari picha na Victoria Stanslaus

MWALIMU WA CHUO KIKUU CHA UDOM AWAKOMBOA WAKULIMA WA TANZANIA

Muhadhiri Cevene MtafitiMta Chuo Kikuu cha UDOM amesema amefanya Tafiti na kubaini kuwa baadhi ya pembejeo za nje ya nchi zinaleta Uchafuzi wa Mazingira, zinauzwa bei ghari na kupatikana wake ni watabu . Ndio maana chuo hiki kimekuja kutatua changamoto za wakulima Kwa kutengeneza dawa za mazao, zisizokuwa hathari za mazingira pamaja na kulinda Afya za wakulima . Ametoa wito Kwa jamii ya wakulima,wadau wa kilimo ,serikali na watafiti kuwepo na Muunganiko Kati yao ili Tafiti zinazofanywa zilete tija na zitatue changamoto kama ilivyo kusudiwa .amesema haya kwenye maonyesho 44 ndani ya Viwanja vya sabasaba jijini DSM


Habari picha na Victoria Stanslaus

WASICHANA WALETA MAPINDUZI MAKUBWA

Kampuni ya NIVEHA  wameamuwa kuja na Bidhaa  ya Madura ya Nazi ,rosheni na Bidhaa Ingine Lengo kuweza kuimarisha Ngozi za watanzania na wasio watanzania Wasichana hawa no noma kuwaunga mkono Kwa kiasi kikubwa Kwa kununua Bidhaa zao na serikali kuwawekea masingira rafiki ya ufanyaji wa biashara zao kwani no wazarendo na wanamuunga mkono rais Magufuli katika Kuelekea Tanzania ya Viwanda amesema haya kwenye maonyesho 44 ndani ya Viwanja vya sabasaba jijini DSM


Habari picha na Ally Thabit

WAKULIMA WAPEWA ONYO KALI

TOSCI imewataka Wakulima wa hapa nchini kutumia mvegu zilizochapishwa na character ya ubora kutoka TOSCI kwaajili ya kupata mazao yenye ubora na yenye tija Mmoja ya kiongozi wao amesema wameweza kuwajea uwezo Wataalam wa kilimo Tanzania nzima Lengo Kuu kuunga mkono juhudi za rais Magufuli Kuelekea Tanzania ya Viwanda

Habari picha na Victoria Stanslaus

WATANZANIA WAIMIZWA KUTUMIA KAHAWA

Kampuni ya Tee Brendars yenyewe makao makuu Yao kurasini imewataka watanzania na wasio watanzania kutumia Bidhaa zao za KAHAWA kwani no Bora na nzuri Pia KAHAWA inachangamsha mwili inaondoa matatizo ya Figo amesema haya kwenye maonyesho 44 ndani ya Viwanja vya sabasaba jijini DSM

Habari picha na Ally Thabit

TMZ YAWAFIKIA WAKULIMA

Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Soko la Bidhaa Agustino Ngurumbi ameamuwa kuja na mfumo wa TMX ili wakulima waweze kuuza Bidhaa zao Kwa uhakika na Uraisi zaidi na kuwaraisishia wanunuzi wa mazao waweze kununua mazao popote walipo duniani Agustino Ngurumbi amesema mfumo huu umeweza kuongeza thamani ya mazao mfano zao la Ufuta kutoka tani1000 mpaka tani elfu16 na mazao mengine ikiwemo zao la Korosho na kuongeza bei za mazao Kwa wakulima amesema haya kwenye maonyesho 44 ndani ya Viwanja vya sabasaba jijini DSM

Habari picha na Victoria Stanslaus

CHUO CHA UHASIBU ARUSHA CHA MUUNGA MKONO KWA VITENDO RAIS MAGUFILI

Mwalimu Fikh Mtavilah amesema Chuo cha Uhasibu Arusha kinatoa kozi saba7 za Cheri, diproma kozi 16 na Kwa ngazi ya digrii na masters mafunzo Yao yanasaidia Kwa kiasi kikubwa katika hadhima ya rais Magufuli katika Kuelekea Tanzania ya Viwanda ametoa wito Kwa watu wote wajiunge na chuo Cha Uhasibu Arusha Kwa elimu Bora  na kupata furusa ya kuajiliwa ama kuajiliwa amesema haya kwenye maonyesho ya 44 ndani ya Viwanja vya sabasaba jijini DSM


Habari picha na Ally Thabit

CHUO CHA UHASIBU ARUSHA CHA WAAKIKISHIA AJIRA KWA WAHITIMU WAO

H.O.D amesema Chuo Chao cha Arusha kinawaandaa wanafunzi wao ili waweze kujiajili ama kuajiliwa  wanawapa nafasi ya kupata elimu Kwa watu wenye ulemavu ivyo amewataka watu wote waweze kujiunga na chuo chao Jeradi T Marisa amesema pia Wana Tawi DSM, abati mkoani Manyara na Arusha amesema haya kwenye maonyesho ya 44 ndani ya Viwanja vya sabasaba jijini DSM

Habari picha na  Victoria Stanslaus

CHUO CHA SAUT CHAJA NA MIKAKATI MIZITO

 Muhadhiri wa Chuo cha SAUT MBEYA amewataka watanzania na wasiowatanzania kuweza kujiunga na Chuo cha SAUT MBEYA  kwani wanatoa huduma Bora na swala la miundombinu ni rafiki na chuo kipo katikati ya  Jijini la MBEYA  Muhadhiri Idala ya Sayansi ya Jamii .Elisha Nkwija amesema watakuwa na kozi  mpya ya Sheria na Uhasibu kwani wanasubili kibari kutoka TCU amesema haya kwenye maonyesho 44 ndani ya Viwanja vya sabasaba


Habari picha na Victoria Stanslaus

PPRA YAWATANGAZIA VITA KALI WASIO JISAJILI

Afsa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka na Ununuzi wa Umma (PPRR) Mwandisi Leonadi Kapongo ameitaka taasisi 57 za serikali zijiunge katika mfumo wa kieletroniki WA manunuzi wasipo Fanya hivyo hatua Kali zitachukuliwa dhidi Yao pia amesema mfumo huu unaondoa hurathimu na kuokoa kiasi kikubwa cha fedha ambazo zilikuwa zikipotea amesema haya alipotembea kwenye Banda la PPRA kwenye maonyesho ya 44 ya sabasaba jijini DSM

Habari picha na  Victoria Stanslaus

TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE YAJIVUNIA HUDUMA BORA

Dokta Pedro Pallangyo bingwa na mtafiti wa taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete inajivunia kutoa huduma Bora na nzuri kwenye matibabu ya Moyo tangu waanze kutoa huduma hizi wameweza kunusuru vifo vya watanzania na wasio watanzania vilivyo vinasababishwa na Ugonjwa wa Moyo Taasisi ya Jakaya Kikwete ya Moyo imeweza kuokoa kiasi kikubwa cha fedha ambazo zingeenda kutumika nje ya nji Kwa ajili ya kutatuwa matatizo ya Moyo daktari bingwa WA ugonjwa wa Moyo wa taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete kwenye maonyesho ya 44 ya sabasaba ametoa wito Kwa watanzania na wasio watanzania kuweza kutumia taasisi ya Jakaya Kikwete ya Moyo kwaajili ya kutibiwa matatizo ya Moyo Kwa being nafuu na Kwa haraka zaidi


Habari picha na Victoria Stanslaus

Thursday, 9 July 2020

VETA SONGEA YAWAKARIBISHA WAKULIMA

Mwalimu Susaki Mburu wa Veta Songea amesema wameamuwa kutengeneza pampu ya umwagiliaji maji kwenye mashamba na bustani kwaajili ya kuwanusuru watanzania na baa la njaa Kwa kutoka kutegemea kilimo cha msimu wa mvua amewapongeza watanzania Kwa kununua mashine zao Kwa wingi huku akisema being yao elfu therathini 30000 Kwa Mawasiliano 0754 652674 wanapatikana kwenye Viwanja vya sabasaba kwenye Banda la Veta


Habari picha na Ally Thabit