Habari picha na Ally Thabiti
Habari picha na Ally Thabiti
Mwenyekiti wa Chama cha CUF prof Iblaim Aluna Lipumba amesema pingamizi aliloekewa na Mgombea mwenzake Kwa nafasi ya Urais kupitia Chama cha CHADEMA alikuwa na mashiko . Amewataka Wana CUF kujiandaa na kampeni za Uchaguzi
Habari Victoria Stanslaus
Mkurugenzi wa Baraza la Mazingira Tanzania (NEMC) Dr Eng Gwamwaka amesema kitendo cha taasisi ya TMHS Kuwakutanisha wadau wa mazingira kujadili na kuweka mikakati ya kupunguza taka nchini ni kizuri kwani Kinatoa fursa ya watu kupata ajira kupitia taka ,kupunguza gharama za kuagiza Mali ghafi kutoka nje ya nchi huku mi kumuunga mkono rais Magufuli kufika Tanzania ya Viwanda
Habari picha na Victoria Stanslaus
Maafsa wa Jeshi la wananchi nchini Tanzania (JWTZ) wameagwa baada ya kufika kikomo cha kustaafu ambako wapate 16 Mameja Jenerali6 Blegedia Jenereli9 na Ruteni Jeneraki1 ambaye Pour Peter Massao ambaye aliekuwa mkuu wa Chuo cha Usalama wa Taifa Kunduchi jijini Dsm .Mery Hiki bregedia Jenerali aliekuwa Mwambata wa Jeshi nchini Burundi akiiwakilisha Tanzania ameishukuru serikali ya Tanzania Kwa kuvijali na kuvisimamia Vyombo vya Ulinzi na Usalama Nae Hawa ISA bregedia Jenerali ameahidi kutekeleza Kwa Vitlendo Yale yote yaliofanywa na watangulizi wao . Name mkuu majeshi Ruteni Jeneraki1 Venasi Mabeo ameshirikiana kwenye kuwaahidi maafisa wa Jeshi Eneo la Uhasibu Temeke jijini Dsm
Habari picha na Ally Thabiti
Bruno Kanyogi Mkurugenzi wa Kampuni ya B&F GLOBAL amesema Lengo la kukutana na wadau mbalimbali ni kuunga mkono juhudi za rais Magufuli katika maswala ya miundombinu ambako wanamuunga kuwa lazima kuwepo na ustaamilivu wa miundombinu kwaajili ya Uchumi na Maendeleo Kwa Taifa letu . Amewataka watu mbalimbali kuunga mkono juhudi za rais Magufuli
Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Josefu Sinde Warioba amesema watu waongeze mkazo na bidii katika Vita ya rushwa wasiiachie serikali peke yake amesema rushwa ikemewe Kwa nguvu zote amesema haya kwenye kongamano lililoandaliwa na Chuo cha KUMBUKUMBU Ya MWALIMU NYERERE
Habari picha na Ally Thabiti
Mkurugenzi Mkuu wa Sport Pesa Abasi Tarimba amesema Kuelekea wiki ya mwanangu wataelekea YANGA Kwa Hali na Mali na wataendelea kuwathamini
Habari picha na Victoria Stanslaus
Wachezaji kutoka FS Vita ya Kongo Twisira Kisinda na Tonombe pichani wakionekana kwenye Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere wakipokelewa na wapenzi,washabiki ,,wanachama na viongozi wa YANGA
Habari picha na Victoria Stanslaus
Habari picha na Victoria Stanslaus
Fransisi Maiko wa Wizara ya Rais Utumishi na Utawala Bora amesema watanzania Wasichague viongozi watoa rushwa kwenye Uchaguzi huu kwani atoletewa Maendeleo na sauti zao hazitosikika amesema haya kwenye kongamano lililoandaliwa na Chuo cha KUMBUKUMBUt ya MWALIMU NYERERE KIGAMBONI jijini Dsm
Habari picha na Victoria Stanslaus
Rudoviki Uto amesema rushwa ina madhara makubwa ambako unafanya mtu kukosa haki,kuzorota Kwa demoksia na wananchi kukosa Maendeleo ivyo amewataka watu wote nchini kupinga,kuzuia na kupambana na rushwa kwaajili ya Maendeleo ameupongeza Uongozi wa Chuo cha KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE kufanya kongamano kuusu rushwa kwani wameweza kuwajengea uwezo washiriki jinsi ya kupambana na kuzuia rushwa na namna ya kutambua madhara ya kupokea na kutoa rushwa amewataka washiriki kuwa mabarozi katika kupambana na rushwa amesema haya KIGAMBONI jijini Dsm
Mkuu wa TAKUKURU kutoka Temeke Ndugu Kesi amesema katika mapambano ya rushwa wameanzisha Mabaraza ya kupinga rushwa katika shule za msingi na sekondari . Pia amesema wameweza kuwajengea uwelewa wa wa w kupinga rushwa ameahidi kuwa swala la kutandika vipeperushi vinnavyozungumzia maswala ya rushwa wataandika Kwa Nukta Nundu ili watu wasio Ona washiriki kikamilifu katika mapambano ya rushwa uku akiwataka watu kupiga namba ya Simu 113 wakibainika Vitendo vya rushwa amesema haya kwenye kongamano la kupinga rushwa lililoandaliwa na Chuo cha KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE KIGAMBONI jijini dsm
Habari picha na Ally Thabiti
Afsa Mwandamizi wa Mawasiliano na Uhusiano Imanueli amesema wataendeleza CRDB MARATHON miaka yote .Lengo Kuu la mbio hizi ni kuokoa maisha ya Watoto wenye matatizo ya Moyo
Habari picha na Victoria Stanslaus
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu nchini Tanzania Charles Kitima ameitaka Tume ya Uchaguzi kupelekea vifaa vya kupigia Kura Kwa wakati na wafungue vituo mapema .Lengo vulugu Isitokee amewataka wanasiasa kufanya siasa za kistaarabu na lugha za matusi itawezesha kulinda na kutunza Amani iliyopo amesema haya kwenye Mkutano wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi jijini Dsm
Habari picha na Victoria Stanslaus
Kamishina wa Uhamiaji Ana Makakala amesema katika kipindi iki cha Uchaguzi Uhamiaji wataangalia Urais wa Wagomb Kwa ngazi ya Udiwani,Ubunge na Urais Kwa vyama vyote vya siasa .Lengo kupata viongozi wenye Urais wa Tanzania kwaajili ya Ulinzi na Usalama wetu .amesema swala la Tundu Lisu na kuchukua uraia wa Ubirigiji wakati anaumwa wakati anaumwa awawezi wakalizungumzia kwani wakati wake bado ameahidi kuwa watatoa elimu ya uraia Kwa wapiga Kura na Wagombea amesema haya kwenye Mkutano Ulioandaliwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi jijini Dsm
Habari picha na Victoria Stanslaus
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IJP) Saimoni Siro amesema wamejipanga vizuri katika swala la kulinda Amani kipindi hiki cha Uchaguzi uku akiitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi kufikisha vifaa vya Uchaguzi Kwa wakati na vituo vifunguliwe Kwa muda sahihi hii itasaidia Kutokiona vurugu amesema haya kwenye Mkutano wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na wadau mbalimbali.ikiwemo Jeshi la Polisi ,viongozi wa Dini na wadau wengine
Habari picha na Victoria Stanslaus
Watu wenye Ulemavu wa Aina mbalimbali wakielezwa namna Tume ya Taifa ya Uchaguzi hatua walizofikia Kwa vifaa vya kupigia Kura watu wenye Ulemavu
Habari picha na Victoria Stanslaus
Ally Thabiti ni Mwanachama wa Chama cha Wasio Ona nchini Tanzania (TLB) ameipongeza serikali Kwa kutenga kiasi cha bilioni 331 kwaajili ya Uchaguzi . Fedha hizi ni za watanzania pia ameishukuru Tume ya Uchaguzi Tanzania kwa kuweka mazingira rafiki na wezeshi Kwa watu wenye Ulemavu kwenye Uchaguzi Mkuu
Habari picha na Victoria Stanslaus
Musa Kabimba Katibu Mkuu wa Chama cha watu wenye Uhalbino Tanzania ameupongeza uongozi wa Tume ya Uchaguzi Tanzania Kwa kuwashirikisha watu wenye Ulemavu na makundi mbalimbali kushiriki kwenye Uchaguzi wa mwaka huu katika kumchagua Viongozi Bora . Ametoa wito Kwa Tume ya uchaguzi kuendeleza kushirikiana na watu wenye Ulemavu katika Shughuri mbalimbali za Kitaifa
Habari picha na Victoria Stanslaus
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Semisteus Kaijage amesema wameweza kuandikisha watu wenye Ulemavu elfu 13 Wasiio Ona elfu2200 Wenye Ulemavu wa mikono elfu 4 na Ulemavu mwingine wakiwemo wenye hualbino Watu wenye Uziwi . Pia Time imetoa vibari Kwa Asasi za watu wenye Ulemavu ili watu wenye Ulemavu wapewe elimu ya kupiga Kura,yameandaliwa Maandishi ya Nukta Nundu kwaajili ya wenye Ulemavu wa Kutokiona Ona waweze kupiga Kura Kwa Uraisi
Swala la Wakarmani wa lugha na Vifaa vya wenye Ulemavu wa Viungo vya Miguu vipo wakati wa kupiga Kura tarehe 28 Mwezi 10 mwaka 2020 .Tume imetoa wito Kwa watu wenye Ulemavu kushiriki kusikiliza kampeni za Wagombea na kujitokeza Kwa wingi tarehe 28 Mwezi 10 .kupiga Kura kwaajili ya kumchagua Viongozi wanaowataka kwani Time imeweka mazingira rafiki Kwa wenye Ulemavu na makundi mengine
Habari picha na Victoria Stanslaus
Habari picha na Victoria Stanslaus
Mwakirishi wa Kampuni ya Maziwa ya ASASI Sulemani amesema kitendo cha CRDB BANk kuanzisha CRDB MARATHON ni Jambo la kuungwa mkono na kuingwa na taasisi zingine . Kwani mazoezi yanasaidia kuimarisha Afya za watu na kufanya watu kuondokana na Magonjwa mbalimbali .Pia CRDB MARATHON imewezesha kupatikana Kwa fedha Milioni Mia mbili 200 .000,000kwaajili ya Kugharamia matibabu ya Moyo Kwa Watoto Mia 100 amesema haya kwenye CRDB BANK MARATHON ambazo zimefanyika jijini Dsm
Habari picha na Victoria Stanslaus
Mwenyekiti wa Amani na Shee Mkuu wa Dsm All Hadi Musa Salim amesema kwaniaba ya viongozi wa Dini mbalimbali wanaupongeza uongozi wa Tume ya Uchaguzi nchini Tanzania Kwa kuwaahidi kuwa Uchaguzi utakuwa wa Uhuru na Haki .na swala la kutoa elimu Kwa mpiga Kura kwani wametekeleza kufungua cha 8 pia kutoa Bihari Kwa Asasi za kiraia kwaajili ya mafunzo ya Ipigaji Kura Uku wakiishukuru serikali Kwa kutengeneza bilioni 331 tena fedha za Ndani si za Waisani
Habari picha na Ally Thabiti
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Tanzania amewataka viongozi wa Dini tofauti kufanya maombi ili Uchaguzi uwe na Amani na Huturivu .pia amewaaidi Kutokiona kutumika na viongozi wa Vyama vya Siasa ,wasikubali kutumika kuwa wapiga Debe wa Wagombea na misikitini na makanisani wanasiasa wasiluusiwe kufanya Kampeni .Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi . Haji mstaafu Semisteus Kaijage amewatoa ofu viongozi wa Dini vifaa vya kupitia Kura na Mawakala na utoaji fomu Kwa ngazi Urais,Ubunge na Udiwani Unaendelea vizuri amesema haya jijini Dsm alipoludia na viongozi wa Dini
Habari picha na Ally Thabiti
Habari picha na Victoria Stanslaus
Habari picha na Victoria Stanslaus
Mtia Nia wa Ubunge Jimbo la Kibamba amewataka Wana Kibamba wamchague ili aweze kuwakimboa kiuchumi amesema kwani Chama cha NCCR Mageuzi kina mbinu na Mipango ya kuwaondoa watanzania kwenye wimbi la umasikini ametoa Rai Kwa wananchi wapewe ridhaa ya kuiongoza nchi
Habari picha na Ally Thabiti
Mratibu wa Taasisi ya MAZAUJI Selemani amewataka watanzania nawasio watanzania kujitokeza Kwa wingi tarehe 6 Mwezi 9/2020 hotel ya Ubungo Plaza kutatuwa na waimbaji wa Kaswida Kwa mtu mmoja1 elfu 20000 kutatuwa na chai na Chakula cha mchana
Habari na Ally Thabiti